hangahanga
Senior Member
- Feb 9, 2015
- 128
- 6
- Thread starter
- #21
Mbona sie wengine neno reset choice limeondoka kulikon sasa?
wenda umefanikiwa au ukawa umechelewa kufanya hivyo.
Mbona sie wengine neno reset choice limeondoka kulikon sasa?
Mwenye active contact za nacte
da yan presha et vp kwa ambao atukuona iyo resert choise nduguKuwepo kwa reset choice hakumaanishi kuwa hujachaguliwa. Usipochaguliwa lazima NACTE wakupe taarifa officially kuwa inabidi uchague kozi nyingine Na poa lazima wakwambie sababu iliyokufanya ukose nafasi katika hivyo vyuo. Sababu ya huyo reset option kutolewa Ni kuwa watu wamekuwa wakireset ovyo kwa hofu ya kutokuchaguliwa. Matokeo rasmi ya waliochaguliwa yatatolewa Na nacte Na pia watakao kosa na wataambiwa cha kufanya. Hata kama chuo kimetoa majina ya waliochaguliwa tafadhali subiri final say ya nacte kwenye profile yako.
da yan presha et vp kwa ambao atukuona iyo resert choise ndugu
Mbona homa tupu mm sijui wamenpeleka wap? Umeme hamna dahMkuu jarib zile za zone huwaga wanapokea sim
Vyuo vyote vinafunguliwa 9 novemberhuu mwaka ni majanga,,,!
Yani TCU upandae wao wanaongelea 2nd selection, lakin kwa NACTE bado n kizungumkuti hata 1st selection hawajatoa kweny profile zetu, sasa hii inakuaje,!?
Na tar 26 mwezi huu vyuo kama SAUT vinaanza kupokea 1st yr,,,
Sasa hawa NACTE 1st selection zitaoneka lini kweny profile zetu? ili tujue tuu imekuaje, na hiyo 2nd batch ndo itakuwa lini sasa, vyuo vikishafunguliwa?
mimi juzi nililiona jina langu kwenye ile link ya udom iliyokuwa kwenye excel format lakini kwenye yale majina yaliyokuwa kwenye pdf ambayo yalitolewa na udom jina langu sikuliona lakini hata sijashtuka sababu majina 16 hayapo ambayo yote yalikuwa kwenye ile link ya mwanzo(excel) wote ni kutoka nacte.Na watu wanaotoka nacte wanahitajika 22.sina hata wasiwasi sababu kama nililiona mwanzo natumahi hata second batch nitaliona

majibu yao utafurah na roho yako....hawajibu kama taasisi ,wanajibu kama unachat na mchizi tu flan ,yan usishangae kukutana na impolite words.watafute facebook wanakujibu mapema
huu mwaka ni majanga,,,!
Yani TCU upandae wao wanaongelea 2nd selection, lakin kwa NACTE bado n kizungumkuti hata 1st selection hawajatoa kweny profile zetu, sasa hii inakuaje,!?
Na tar 26 mwezi huu vyuo kama SAUT vinaanza kupokea 1st yr,,,
Sasa hawa NACTE 1st selection zitaoneka lini kweny profile zetu? ili tujue tuu imekuaje, na hiyo 2nd batch ndo itakuwa lini sasa, vyuo vikishafunguliwa?
hapo kazi ipo,,,!