hangahanga
Senior Member
- Feb 9, 2015
- 128
- 6
Kwa wale wote waliomba kupitia NACTE walioandikiwa FUTA MACHAGUO(reset choice) fahamu kuwa course zote ulizoomba zimejaa na huna budi kuchangua zngine kwa kuclick hapo na ukiclick hapo hutoweza kuziona tena zile course ulizoomba.so unachotakiwa kufanya ni kufuta hayo machaguo na kujaza course zngne mpya unazoona znafaa kwako.fanya hivyo mpaka 16.10.2015 saa 11.59
00.
00.