Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Siku zote nyani hua haoni kundule! Newton yuko sahihi lakini mkuu wa mkoa amekosea.Nyie mna LAANA...hivi huyo BINTI alichokifanya ni sahihi?????Anzeni kulaumu source ya WITO WA HAPI.....
Upumbavu na ujinga nazo ni sifa.Siungi mkono dharau na kukoseana heshima na adabu.
Nimejaribu kuwaza kwa sauti huenda labda ni ujinga wangu (sio upumbavu)
Hivi wakati tunapopiga picha ya watu wengi huwa wanasema "wafupi" mje mbele na "warefu" simameni nyuma, na kweli watu wanajipanga...niaje???
Wakati mwingine tunapogombania usafiri wetu wa mbagala pale shule ya uhuru utasikia weee "mfupi" pitia dirishani kawahi siti.
Inakuaje hayo mambo?? Kwamba ufupi ni sifa mbaya na urefu ni ufahali au ni vipi??
Nani sasa?Shule,shule,shule!!
kumlinganisha na nani?Binti huyo ni mfupi au mrefu?
Baada ya kushindwa kupambana na Msigwa sasa amegeukia watu wadogo , lakini nakuhakikishia Bavicha itamnyoosha kudadeki !Kwan huyu dada alimfanya nin Bwana Rc?