Taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu kitendo kilichofanywa na RC Ally Hapi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
IMG-20181221-WA0053.jpg
 
Nasubiri taarifa nyingine ya kupinga mkuu wa wilaya Kipi Warioba kukabidhi magari ya taka kwa Manispaa ya Moshi, hali kuwa magari hayo yamenunuliwa na madiwani wa Chadema😁😁
 
Nyie mna LAANA...hivi huyo BINTI alichokifanya ni sahihi?????Anzeni kulaumu source ya WITO WA HAPI.....
Siku zote nyani hua haoni kundule! Newton yuko sahihi lakini mkuu wa mkoa amekosea.
Kumbuka waliandamana wenyewe wakajiona wako sahihi ila polisi kuinua virungu wamekosea...
 
Siungi mkono dharau na kukoseana heshima na adabu.

Nimejaribu kuwaza kwa sauti huenda labda ni ujinga wangu (sio upumbavu)

Hivi wakati tunapopiga picha ya watu wengi huwa wanasema "wafupi" mje mbele na "warefu" simameni nyuma, na kweli watu wanajipanga...niaje???

Wakati mwingine tunapogombania usafiri wetu wa mbagala pale shule ya uhuru utasikia weee "mfupi" pitia dirishani kawahi siti.

Inakuaje hayo mambo?? Kwamba ufupi ni sifa mbaya na urefu ni ufahali au ni vipi??
 
Upumbavu na ujinga nazo ni sifa.
 
Binadamu vipimo vyao vinatambuliwa kwa urefu kutoka chini kuelekea juu. Ufupi unapimwa vipi??
 
Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom