Taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu kitendo kilichofanywa na RC Ally Hapi

Kuna siku mm nilishamgaa baada ya mmoja wa vijana hawa watawala wa leo alikiri kwamba hajui 'the smallest unit of society' kuwa ni.....! Sasa huyu ni mwakilishi wa Rais ktk mkoa!
 
Binti mfupi wa BAVICHA, kwani si mfupi kweli? Sasa mlitaka aseme mrefu wakati ni mfupi, kazi kudumaa tu bavicha.. Haa, physically retarded, mkiwa mentally retarded mmekwishaaa, and almost mko mentally retarded.. Am closely watching you..!!
 
Siungi mkono dharau na kukoseana heshima na adabu.

Nimejaribu kuwaza kwa sauti huenda labda ni ujinga wangu (sio upumbavu)

Hivi wakati tunapopiga picha ya watu wengi huwa wanasema "wafupi" mje mbele na "warefu" simameni nyuma, na kweli watu wanajipanga...niaje???

Wakati mwingine tunapogombania usafiri wetu wa mbagala pale shule ya uhuru utasikia weee "mfupi" pitia dirishani kawahi siti.

Inakuaje hayo mambo?? Kwamba ufupi ni sifa mbaya na urefu ni ufahali au ni vipi??
Kwa nn unakua mjinga lkn ??
 
Huyo Hapi mwenyewe hata kwenye kiganja hajai.Tatizo na sie wanachadema tumezidi kulalamika bila vitendo.Haki haiji kwa mitandao.Watu waliopigania siasa za vyama vingi maandamano walihenya haswa sii kazi rahisi
 
Kuna watu wanapenda ugomviiiii haooooo! Kaitwa mwingine kawashwa mwingine..... wanatafuta kukunwa hawa sio bure, ngoja Xmas mwende Segerea
 
Siku zote nyani hua haoni kundule! Newton yuko sahihi lakini mkuu wa mkoa amekosea.
Kumbuka waliandamana wenyewe wakajiona wako sahihi ila polisi kuinua virungu wamekosea...
bila polificiem mazombi wa lumumba ni kama toiletipepa
 
Siungi mkono dharau na kukoseana heshima na adabu.

Nimejaribu kuwaza kwa sauti huenda labda ni ujinga wangu (sio upumbavu)

Hivi wakati tunapopiga picha ya watu wengi huwa wanasema "wafupi" mje mbele na "warefu" simameni nyuma, na kweli watu wanajipanga...niaje???

Wakati mwingine tunapogombania usafiri wetu wa mbagala pale shule ya uhuru utasikia weee "mfupi" pitia dirishani kawahi siti.

Inakuaje hayo mambo?? Kwamba ufupi ni sifa mbaya na urefu ni ufahali au ni vipi??
unatetea umbwiga wa lumumba
 
Huyo Hapi mwenyewe hata kwenye kiganja hajai.Tatizo na sie wanachadema tumezidi kulalamika bila vitendo.Haki haiji kwa mitandao.Watu waliopigania siasa za vyama vingi maandamano walihenya haswa sii kazi rahisi
Sasa mnajibu vipi issue ya social media ambayo si official? What if kuna mtu anatumia jina lake? Maana mitandao ya kijamii unaweza kuta jina moja kina watu kama kumi....Nadhani hakuna sababu ya kujibu
 
Mwingine ana muhakikishia bosi wake 2020 hakutakua na mbunge wa upinzani dar.yaani mpaka unasikitika. Kweli kichwani zimo huyu?
 
hivi huyo BINTI alichokifanya ni sahihi?????Anzeni kulaumu source ya WITO WA HAPI.....
Alitwiti hivi....
Screenshot_20181221-113521.jpeg
 
Kwani ufupi ni tusi? Kweli sasa siasa kila mahala sema Ali ni mbumbumbu wa madaraka anapenda misifa ya kipumbavuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom