taarifa kwa umma.

taarifa kwa umma.

zumbemkuu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
11,322
Reaction score
9,771
Kesho bendera ya taifa itapepea nusu mlingoti, kutokana na msiba wa watu 246,000 waliokuwa wakitokea Form 4 kuelekea Form 5 kwa kutumia meli ya MV NECTA, wamezama ktk Ziwa Zero karibu na maeneo ya shule za Kata! Bwana alitoa na bwana ametwaa Jina la Necta lihimidiwe! Advance iliwapenda lakin kilimo kimewapenda zaidi
 
Back
Top Bottom