Taarifa kwa umma ya kusitisha matumizi ya dawa zenye kiambata hai cha Ranitidine

elivina shambuni

JF-Expert Member
May 31, 2018
461
295
1574353237035.png

1574353267224.png
 
Tangazo hili linazihusu hizo dawa tatu tu zilizoorodheshwa hapo juu?.... Famotidine na Cimetidine kama ilivyo Ranitidine zote ziko kwenye kundi moja la > Histamine-2 blockers na zinafanya kazi kwa kupunguza kiasi cha tindikali tumboni hasa kwenye Zollinge-Ellison syndrome. Je zote zitaondolewa sokoni au ni hizo zilizotajwa tu?.:oops:
 
watu washazika watu wao kisa hayo madawa nyie ndio mnaleta katazo leo

hivi nikiwaita wachawi ntakua nawaonea?
 
Tangazo hili linazihusu hizo dawa tatu tu zilizoorodheshwa hapo juu?.... Famotidine na Cimetidine kama ilivyo Ranitidine zote ziko kwenye kundi moja la > Histamine-2 blockers na zinafanya kazi kwa kupunguza kiasi cha tindikali tumboni hasa kwenye Zollinge-Ellison syndrome. Je zote zitaondolewa sokoni au ni hizo zilizotajwa tu?.

Kasome tena katazo limekusudia nini, (NDMA).
 
Nimelisoma katazo na ndio maana nikaweka bandiko langu nikitoa changamoto kwa kuainisha dawa za aina hiyo zilizoko sokoni hivi sasa.
Bila ya kudadavua na kuorodhesha dawa zote zinazofanana kiutendaji na hizo zilizotajwa bado kuna watu wataendelea kuathirika.
Nakushauri wewe urudie kulisoma hilo katazo lao kwa makini kisha ulinganishe na bandiko langu ukizingatia wasiwasi niliouonyesha kwenye bandiko langu.

CC Ncha Kali
 
Kama n cancer watu watakuwa wamepata Sana......inamaana dawa ziliingia sokoni bila kupimwa ipasavyo au??? Mambo yanasikitisha sana
 
Kule marekani FDA wameiondoa Zantac kwa sababu hizo hizo.

Nyie TMDA mmefanya utafiti au mme copy sababu za katazo la kule mkatuletea sisi?!

Ikiwa tunasbiri wenzetu wa hainishe matatizo baada ya tafiti zao, nyie TMDA mnafanya nini?

Katazo ni katazo tutaziacha lakini nanyie fanyeni kazi sio kukopy tu.
 
Back
Top Bottom