Upo katika mpango wa kustaafu soon nini?
Jamani, je sheria hii inawabana na walioitunga yaani wabunge? na wao hawatachukua mafao yao mpaka wafikishe umri wa kustaafu? Na kwanini sheria hii inarudi nyuma badala ya kuanza na wanachama wanaojiunga leo yenyewe inawachukua hata waliojiunga miaka ya 80. Kwanini? Tetesi kwamba hali ya kiuchumi ya mifuko hii pamoja na serikali kukopa toka kwenye mifuko na kujengea UDOM etc huenda zinaukweli.
huyu irene alikuwa stanbic bank, ushkaji unaanzia kwa dhaifu rais mpaka wa chini yake, na ye kamvuta mshkaji wake lightness mauki, head wa risk huko huko! wao washachukua chao, wanatuletea ngonjera hapa, ana vitoto viwili vya kike! nimemchukia ghafla, kwa kushindwa kutetea wananchi kwa jk kilaza! pesa yetu tunataka! period!Hawa watu hawako serious kabisa.........hata website yao imejaa mapicha ya IRENE as if ni FACEBOOK
Informing media houses during a press conference held at SSRA Board Room the Director General Ms. Irene Isaka informed journalists that as per Section No.5d of the SSRAAct, one of the roles and functions of the Authority is to protect and safeguard the interests of members, while making sure that all social security schemes are strong and sustainable. The guideline addresses the immediate and some of the intermediate actions that are needed to improve the governance of investments and investments returns said the Director General.