palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
Damn afu nina tumbo la kuhara, hivi Wabunge hawawezi kutibu??
Kama hawawez wabadilishane posho na madokta
bungando sio ya kanisa? hivi wanakuwa wauji kiasi hichi? Bora tu huu makataba wa MOU uvunjwe
bungando sio ya kanisa? hivi wanakuwa wauji kiasi hichi? Bora tu huu makataba wa MOU uvunjwe
Kumekuwa na taarifa za kuwepo kwa kikao cha Madaktari wakazi (Resident) na Interns ambao bado walikuwa wanaona wagonjwa wa dharura sasa wameamua kuacha kila kitu na kuamua kutoa mtangazo katika mbao za matangazo kuwa leo hakuna kazi huku kukiwapo na taarifa Madaktari bingwa wa hospitali hii wamekuwa wakionekana katika makorido ya hmakorido ya hospitali hiyo wakijadili mgomo na kuwepo kwa tetesi kuwa walikuwa na mpango wa kukaa kikao cha kujadili mgomo na kuweka tool down..
NAOMBA KUWASILISHA
Kanisa ndio linatibu?
bungando sio ya kanisa? hivi wanakuwa wauji kiasi hichi? Bora tu huu makataba wa MOU uvunjwe
No balls!Inabidi sasa pinda achukue madaktari wengine toka magereza,..
wengine toka FFU,....
wengine toka zimamoto,...
wengine toka mgambo,...
na kwingne alikodai atapata sijui CUBA,.....
Upuuzi kweli kujidai wewe ndio wewe na bila wewe hakuna kinacho wezekana.
Nawapongeza sana madaktari ingawa binafsi ni mhanga wa mgomo wenu lakini
potelea mbali.
Pinda show us what you've got now.
Wataalam wako wa JWTZ na JKT vipi wameweza?
Huu mzahamzaha wa akina Bi Kiroboto UTATUMBUA USAHA haraka sana nchi hii!
Ingekuwa ni Northern Africa, looooooo!...zamani sana watu washasambaa RED SQUARE!