Taarifa kutoka serikali ya wanaudsm

Ile picha inayosambaa ko ni uhongo, na huyo dada ken picha yupo? Kama yupo mbona hapokei simu toka jana... Hapa nipo na watu wakozi moja nae na wana namba ake, na ni group disc meet wao....
Uhongo,!
 
Tafadhari andika vizuri. Una maswali mazuri lakini haueleweki vizuri kwa wengi sababu ya uandishi.

Uandishi wako ufafanane na wa mwanafunzi wa shahada ya kwanza tena wa UDSM.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] kuna watu mana maneno ya ajabu sana nimecheka nadhani watu hapa wananiona chizi maarifa
 
Hivi UDSM ndo imepoa to this extent kweliiiii????Enzi hizo kwa sisi tunayoifahamu UDSM,leo hii kungekuwa na maandamano ya kufa mtu kupinga upumbavu walioufanya hawa jamaa na si kuandika huu utumbo
Hao madogo sijui hata kama wanaifahamu Revo Square
 
Hivi UDSM ndo imepoa to this extent kweliiiii????Enzi hizo kwa sisi tunayoifahamu UDSM,leo hii kungekuwa na maandamano ya kufa mtu kupinga upumbavu walioufanya hawa jamaa na si kuandika huu utumbo
Kama una taarifa si upeleke daruso, waandamane pasipo uhakika, nyumbu mna matatizo akilini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…