Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,606
- 1,956
Wanafamilia,
Tafadhali soma kiambatanisho.
Karibuni.
Tafadhali soma kiambatanisho.
Karibuni.
Hongera Magufuli kwa kujali Watanzania
Nasubiria kwa hamu kubwa kusoma kitabu cha jiniasi Ben Mkapa
Itakuwa live tv station gani?Wakati nyie mnazindua madude yenu...kuna wanachi Ukerewe wanakifa na njaa..maisha magumu..sembe na dona kimekuwa chakula cha anasa!
Itakuwa live tv station gani?
Kwamba Mkapa genius??je Ghalib Bilal ataitwaje jamani!
Naona vijana mmejaa kiburi sas, Mkapa anajulikana kuwa anaakili nyingi kama mchwa, sasa nyie mmezaliwa 95 utajuaje ubora wake
Safi kesho wazalendo wanakutana
Nasubiria kwa hamu kubwa kusoma kitabu cha jiniasi Ben Mkapa,
Ila angeandika na nakala ya kiswahili ili Watanzania wengi tukisome
Maisha yake ya siasa toka anafanya kazi ikulu,balozi USA na mpaka kuwa Rais wa Nchi ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde
Sisi Watanzania tunamengi ya kujifunza kwa Mzee wetu Mkapa
Naona vijana mmejaa kiburi sas, Mkapa anajulikana kuwa anaakili nyingi kama mchwa, sasa nyie mmezaliwa 95 utajuaje ubora wake
Kwamba Mkapa genius??je Ghalib Bilal ataitwaje jamani!
Naona Karume(mstaafu) ameamua kujitenga kabisa na mambo ya siasa.
Kwani ni pande mbili za shilingi kuwa moja ikiwa juu lazima nyingine iwe chini?
Mzee Mkapa ni akili kubwa kama ilivyokuwa kwa Dr Gharib
Ukawa wanasema wanataka kuikomboa nchi, me nasema ni wapumbavu. Hii nchi ilishakombolewa na ASP na TANU