Si angerudi bongo ya nini mateso nchi za watuJamaa amepigwa risasi na polisi baada ya kuwa anasumbua wateja kwenye restaurant kwa kuwaomba omba. Mmiliki wa Restaurant akapiga simu polisi na polisi alipofika alijitahidi kumtoa eneo lile na walipofika nje ya restaurant jamaa akaanza kugombea silaha na polisi na katika kujihami kama utaratibu wa kipolisi ulivyo duniani kote akapigwa shaba na kufariki baadae.
Nimefuatilia sana katika mitandao kuhusu habari yake na nimeona mahojiano ya mmiliki wa hotel na baadhi ya mashuhuda na picha za video toka anavyo disturb wateja (wengine mpk alikuwa anawapigia magoti). Hata wakati anapigwa shaba video zimeonyeshwa.
Sikujua alikuwa na matatizo gani mpk kufikia kufanya yale aliyoyafanya. All in all apumzike anapostahili
Dah inasikitisha sana aisee,hapo police atleast wangetumia nji nzuri zaidi ya kutumia risasihttps://www.macon.com/news/article261166287.html
Kuona ruhani wa marehemu rafiki yake kipenzi amekaa ktk kiti cha gari lake Rogers Kyaruzi hivyo kushindwa kuendesha gari kwa woga kiasi apige simu mama yake mzazi Rogers Kyaruzi afike amwendeshe kisha kuingia ktk restaurant akiwaomba customers wamsaidia anaona mzuka wa rafiki yake unamuandama ni dalili za matatizo ya afya ya akili. Inaweza kuwa msongo wa mawazo, majeraha ya ubongo, madawa n.k
Matatizo ya afya ya akili yapo, tuombe msaada wa madaktari.
RIP Rogers Kyaruzi.
Kiongozi wa jumuiya ya Watanzania Atlanta Georgia aongea na kituo cha VoA juu ya mkasa huo wa kusikitisha
Gharama za Kusafirisha mwili ni dola elfu kumi. Piga hesabu ni sh ngap kwa pesa za madafuR.I.P Rogers.
Utamaduni wa wahaya unapotea taratibu.
Kipindi cha nyuma Kuzika mhaya nje ya hayaland ilikuwa nadra sana.
Mjasiriamali omba omba! Hizi tabia za kuombana bia mziache huku bongo kwa maprofeshino kama MWIJAKU, STEVE NYERERE, BABA LEVO nk sasa mkijifanya kwenda nazo kwa wenzetu mtazikwa sana, hii tabia hata Kenya tu haipo yaani hapa bongo jitu zima linatoka kwakw halina hata mia linaenda bar linaanza kuwapa watu vyeo utasikia ooh Mkurugenzi upo hebu moja hapa, au oooh Big boss niambie mtu mkubwa hebu nitupie mbili kwanza afu kuna mchongo ntakupa.....Jamaa amepigwa risasi na polisi baada ya kuwa anasumbua wateja kwenye restaurant kwa kuwaomba omba. Mmiliki wa Restaurant akapiga simu polisi na polisi alipofika alijitahidi kumtoa eneo lile na walipofika nje ya restaurant jamaa akaanza kugombea silaha na polisi na katika kujihami kama utaratibu wa kipolisi ulivyo duniani kote akapigwa shaba na kufariki baadae.
Nimefuatilia sana katika mitandao kuhusu habari yake na nimeona mahojiano ya mmiliki wa hotel na baadhi ya mashuhuda na picha za video toka anavyo disturb wateja (wengine mpk alikuwa anawapigia magoti). Hata wakati anapigwa shaba video zimeonyeshwa.
Sikujua alikuwa na matatizo gani mpk kufikia kufanya yale aliyoyafanya. All in all apumzike anapostahili
Warudi nyumbani kulima. ”Ukishindwa maisha nyumbani, sahau kufanikiwa ugenini''Jamaa amepigwa risasi na polisi baada ya kuwa anasumbua wateja kwenye restaurant kwa kuwaomba omba. Mmiliki wa Restaurant akapiga simu polisi na polisi alipofika alijitahidi kumtoa eneo lile na walipofika nje ya restaurant jamaa akaanza kugombea silaha na polisi na katika kujihami kama utaratibu wa kipolisi ulivyo duniani kote akapigwa shaba na kufariki baadae.
Nimefuatilia sana katika mitandao kuhusu habari yake na nimeona mahojiano ya mmiliki wa hotel na baadhi ya mashuhuda na picha za video toka anavyo disturb wateja (wengine mpk alikuwa anawapigia magoti). Hata wakati anapigwa shaba video zimeonyeshwa.
Sikujua alikuwa na matatizo gani mpk kufikia kufanya yale aliyoyafanya. All in all apumzike anapostahili
Hiyo tabia ililetwa na Wacongoman. Ukimpa bia mbili anakuimba usiku kucha. Baadae wabongo tukaidaka tukawa zaidi ya wacongoMjasiriamali omba omba! Hizi tabia za kuombana bia mziache huku bongo kwa maprofeshino kama MWIJAKU, STEVE NYERERE, BABA LEVO nk sasa mkijifanya kwenda nazo kwa wenzetu mtazikwa sana, hii tabia hata Kenya tu haipo yaani hapa bongo jitu zima linatoka kwakw halina hata mia linaenda bar linaanza kuwapa watu vyeo utasikia ooh Mkurugenzi upo hebu moja hapa, au oooh Big boss niambie mtu mkubwa hebu nitupie mbili kwanza afu kuna mchongo ntakupa.....
HahahaMjasiriamali omba omba! Hizi tabia za kuombana bia mziache huku bongo kwa maprofeshino kama MWIJAKU, STEVE NYERERE, BABA LEVO nk sasa mkijifanya kwenda nazo kwa wenzetu mtazikwa sana, hii tabia hata Kenya tu haipo yaani hapa bongo jitu zima linatoka kwakw halina hata mia linaenda bar linaanza kuwapa watu vyeo utasikia ooh Mkurugenzi upo hebu moja hapa, au oooh Big boss niambie mtu mkubwa hebu nitupie mbili kwanza afu kuna mchongo ntakupa.....
Utawaweza kwa misifa hao.Wahaya banaaa, sasa wanatutungia story marehemu alikua mjasiriamali, mara ana makampuni, mara amewaajiri wazungu.
Hivi mkisema ukweli mnapungukiwa nini?
Mnatutungia story hata mtoto mdogo akihadithiwa anaona kabisa ni uongo.
Yes na ndivyo walivyoripoti BBCMbona inasemekana huyu kapigwa risasi? Kuna taarifa mnaficha!
Dola elf 10 hata milioni 30 haifiki sasa huko marekani wanafanya kazi gani si bora waje tubanane bongo hii.Gharama za Kusafirisha mwili ni dola elfu kumi. Piga hesabu ni sh ngap kwa pesa za madafu