Taarifa juu ya misimu ya kilimo mbali mbali nchini

Taarifa juu ya misimu ya kilimo mbali mbali nchini

robert_k

Member
Joined
Sep 27, 2019
Posts
42
Reaction score
19
Habari wanafamilia wa JF....mimi ni mfanyabiashara wa dawa ya kilimo iitwayo SUPERGRO ambaye nina mpango mkakati wa kuzunguka katika mikoa tofauti kwa wakulima

Sasa basi, nachoomba ni kujua taarifa ya kilimo mbali mbali inayoanza kuanzia mwezi huu wa 10 hadi 12 mwakani...nitashukuru sana kupata taarifa hiyo fupi ya mikoa japo mitano tu

Na pia kama kuna afisa kilimo wa mkoa wowote au halmashauri yeyote namkaribisha aje tuongee kuhusu kufanya partnership ya manufaa

Asanteni sana na nawakaribisha wakulima pia wa mazao yeyote anayetaka kujua zaidi kuhusu matumizi ya SUPERGRO kwa kilimo anachofanya karibu sana sana...kwa mawasiliano 0766317197/0693307877
 
Back
Top Bottom