Taarifa juu ya kuibiwa mke

imani huja kwa kusikia, na usipende kujua kwa kushuhudia kila jambo coz mengine yatakuumiza, mke ni wako akiwa kwako wanasema ila mi simo. ushauri ni kwamba jaribu kuassociate matukio na relation yenu na huyo jamaa bila kujali kuwa mda mwingi unakuaga nae bcoz siku izi tunasema trust no one, hop so utajua ki2
 
Kuna falsafa nzuri sana.... Usimweke mkeo karibu sana na watu wako wa karibu.... Mipaka ya mahusiano lazima iwepo wazi
 
ameolewa na [mlevi walevi ndo awanaga akili] na yeye mwenyewe atakuwa mlevi,,wee usituletee ulokole wako wa***** apa mlevi anafananaje?jb swali
Sasa mlevi kama ana akili ataenda nunua kitu kinacho mlewesha, huoni kama akili zake hazimtoshi.

Ananua ulevi, ule ulevi unamfanya afanye mambo ya jabu ajabu, sijawahi kuona mlevi yuko sawa.

Na wewe kama mlevi nashaka utakuwa na kasoro zako tu, poleni sana.
 
Mke hafuatiliwi wala kuchunguzwa kama mbuzi au mhalifu ni makosa makubwa mkeo ni wewe mwenyewe kwa hiyo unajichunguza SIYO??. Kila siku unaweza kupata story mpya ya uongo na ya kweli, yaani uache kazi zako za kutafuta noti uanze kuwinda mtu alieamua kugawa...NO.

Hadi umeamua kumuoa umeacha wengine woooooote ni wazi kuwa amepasi test zote na ana sifa zote UNAMUAMINI.

Ukipata taarifa TETE sikiliza kwa makini sana,zihifandhi halafu endelea na mambo yako kama kawaida Kusaka pesa. Kama ni kweli
utakuja ona mwenyewe ghafla tena LIVE bila chenga.

Au yeye mwenyewe akizidiwa atasema MIMI NA WEWE BASI NIPE TALAKA. Sasa hapo tena huna haja ya kuuliza kulikoni.
Kwa hiyo acheni kabisa kufatiliafuatilia mwenzio kapita wapi na kafanya nini...WHY?? kwa nini ulimchagua basi?
Au ni wivu? NO wanaume hatuna wivu bana. Kitu ambacho wengi hawajui ni kuwa mwanamke akigundua unamvizia vizia na kutomuamini basi hata kama hana tabia hiyo ANAAMUA KUFANYA KWELI. na ni wewe umemtuma sio yeye.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom