Taarifa ikufikie ya kwamba.........

Taarifa ikufikie ya kwamba.........

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,021
Reaction score
126,444
Taarifa ikufikie hapo hapo ulipo ya kwamba 99.999% ya Wanawake wenye Umri wa kati ya miaka 30 hadi 40 huanzisha ' Mahusiano ' ya Kimapenzi na Wanaume ambao hawajawapenda Kidhati ( kutoka Moyoni ) ila hukubali kuanzisha Mahusiano ili tu ' wasichekwe ' na Wenzao au Jamii na kwamba huwa wana Wanaume zao ambao walikuwa wakiwapenda huko nyuma lakini hawakuolewa nao na kwamba hata kama wakiwa katika Mahusiano mapya wale wa nyuma ( waliokuwa wakiwapenda ) wakihitaji huduma ya Kingono basi watapewa muda na wakati wowote na mahala popote pale.

Mlio na Wapenzi / Wake wa hiyo miaka ' watch out '.

Nawasilisha.
 
Sio kweli wanawake wenye hiyo miaka 30-40 huwa wanajitambua sana tofaut na vitoto vya miaka chin ya hapo

Napinga na siungi mkono hoja
Ulipohama kile chama cha (wabeja/waveja) umejitabua sana
 
Back
Top Bottom