Kwa kipindi kirefu hua najiulizaga bila kupata jibu sahihi ya namna ambavyo usomwagi wa taarifa za habari kwenye tv..hua zinarekudiwa kwanza na kueditwa kabla hatujarushiwa sisi watazamaji au zinakuaga ni matangazo ya moja kwa moja kama ilivyo kwenye radiio.! Na kama ni matangazo moja kwa moja vipi ule muhtasi tunaonesha lisaa limoja au zaidi kabla ya habari!! Mwenye ufahamu wa hili jambo jamani
Matukio yanayoripotiwa yanakua recorded au live (inategemea). Ila msomaji wa habari anakua yupo live, ndo maana hata ikitokea breaking news unajulishwa wakati habari inaendelea