Taarifa Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa Bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kinyoba, Jul 6, 2011.

 1. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Mheshimiwa Kombo Hamisi Kombo pale akichangia hoja ya maswala ya muungano amepewa taarifa ya kwa nini rais wa muungano hatoki Zanzibar pale alipodai kuwa zanzibar haijapata raisi tangu Mwinyi alipo ongoza.

  Nimeipenda taarifa kwa sababu imeonekana kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa TZ hawezi tena kutoka Zanzibar kwa kua Zanzibar tayari inae Rais wake na haitawezekana tena kwa kosa kama hilo kurudiwa kama ilivyotokea wakati wa Mwinyi.

  Yaani Zanziba kuwa na Rais wake na wakati huo huo kuwa na Rais wa Muungano.
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ni vizuri mambo yakawekwa wazi maana malalamiko yamekuwa mengi mno. mara muungano uvunjike mara wanataka rais atoke huko. Waamue moja kubaki au kuondoka lakini hawawezi kuwa na nchi na rais wao pamoja na baraza la wawakilishi halafu wa-export rais bara ambapo hakuna baraza la wawakilishi wa Tanganyika.
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hahahahahaaaaaa... Daaaaaaaa
  wadhandhiberi mpooooooooo
   
 4. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ni vyema kwa kweli kama tunataka kutoka hapa tulipo ni wakati wa kupeana mbivu na mbichi kwani siasa hizi za kufunika kipindi cha utawala fulani zinatugharimu sana kama watanzania na sio ( watanganyika na wazanzibar)

  Tuambiane ukweli na tufuate sheria sio kwa kulalamika au kufunika mambo kwamba haya yasizungumziwe, yatazungumzwa lini?
  Kuendelea kukalia kimya mambo haya ni kuhamishia matatizo kwa watoto wetu mahali ambapo sisi wazazi tumeshindwa ni busara ya wapi hii?
   
Loading...