Jumanne Mkota
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,011
- 1,794
"Bw. Mwigamba na Prof. Kitila, ni watu wakaidi mno, wabinafsi na waroho wakubwa wa madaraka. Kuwavumilia katika taasisi yoyote ile kunahitaji kuwa na moyo wa chuma; historia zao huko walikofukuzwa zinajulikana."
Ukweli utajulikana tu! Wakati CHADEMA wakiondoa magugu waliitwa kila aina ya maneno lakini sasa ukweli umeanza kuonekana. Asante Viongozi wa chadema kwa umakini wakuwaondoa watu hawa na zitto wao.
Unawashwa washwa wewe si bure! Bila kuitaja chadema hupati buku 7
Nyakarungu angekuwa CCM kungemfaa sana kitengo cha propaganda jamaa mzuri sanaHaa haa act inaporomoka kama barafu. Wasaliti ni wasaliti tu.
Safi sana umeandika nachofikilia.....ni wakaidi mno, historia yao inajukikana uko walikofukuzwa!! .....mkuu nyakarungu kwangu mm hii naiona kama fedhea kwa profesa wetu , ....je haiwekani mkakaa mkayamaliza ? Siasa sio vita ndugu daktari nyakarungu, ebu yamalize, pia ikumbukwe mkutano wa cuf walienda kumpa sapoti pseudo- chairman...leo mnawakana, si na chairman mtamkana akija sasa!!
Na ww profesa na mwigamba, si muwe na political tolerance? Au borne to lead??
Mwisho, shikamoo mbowe!! Nyakarungu anasema inahitaji utulivu uliotukuka kuwavumilia Hawa watu!! Dr slaa , mnyika, lissu, lema shikamoo wote!!
​yaani sana tu!!!!!!!... Tumeshachoka Na Taarifa Zenu