geofrey senyagwa
Member
- May 9, 2014
- 57
- 46
yaap correct umenikumbusha thnksNalijua jiji sema nahisi hadija kopa anayo inaitwa the same ila hajaimba hadija kopa
angalia vizuriMbona hakuna hata vina
Basi kumbe taarab ina vina zake tofauti na nyimbo nyingineangalia vizuri
vina ndo zile zile tu sema labda hujazionaBasi kumbe taarab ina vina zake tofauti na nyimbo nyingine
Sawa jamaaa, enjoy taarab jamaaavina ndo zile zile tu sema labda hujaziona
Huwa nabaki mdomo wazi kabisa, pale ninapoona mtoto wa kiume anaulizia nyimbo za taarabu.kazi yako ufisadi jeuri ngebe na nyodo baraka za ukaidi ukali kama embe ngwangwa
badala soda baridi au juisi ya chungwa ushamba umekuzidi andazi wanyea togwaa
Enzi za kwa mzee yusuph magomeni.kwenye taarabu wanaume wanajaa kuliko wanawake.Huwa nabaki mdomo wazi kabisa, pale ninapoona mtoto wa kiume anaulizia nyimbo za taarabu.
Kwakweli huwa napata mashaka sana kwa mienendo ya kijana wa aina hiyo....[emoji30][emoji30][emoji30]
Kwa wanaume wa huko sikatai mkuu, maana niliwahi kuwaona wanajitahidi kutikisa manyonyo, na kukata mauno...[emoji28][emoji28][emoji28]Enzi za kwa mzee yusuph magomeni.kwenye taarabu wanaume wanajaa kuliko wanawake.
majitu ya bara haya maoga sana sasa ukisikiliza taarabu unapata bahasha au?Huwa nabaki mdomo wazi kabisa, pale ninapoona mtoto wa kiume anaulizia nyimbo za taarabu.
Kwakweli huwa napata mashaka sana kwa mienendo ya kijana wa aina hiyo....[emoji30][emoji30][emoji30]
Unadhani uanaume ni kuwa na uume?Enzi za kwa mzee yusuph magomeni.kwenye taarabu wanaume wanajaa kuliko wanawake.
Hiyo inaitwa utalijua jiji muimbaji Afua Suleimankazi yako ufisadi jeuri ngebe na nyodo baraka za ukaidi ukali kama embe ngwangwa
badala soda baridi au juisi ya chungwa ushamba umekuzidi andazi wanyea togwaa
Huwa nabaki mdomo wazi kabisa, pale ninapoona mtoto wa kiume anaulizia nyimbo za taarabu.
Kwakweli huwa napata mashaka sana kwa mienendo ya kijana wa aina hiyo....[emoji30][emoji30][emoji30]
Inahuzunisha sanaMtoto wa kiume na taarabu wapi na wapi ngoja waje wahusika wakwambie
Mwanaume wa Dar kwa taarabu duhkazi yako ufisadi jeuri ngebe na nyodo baraka za ukaidi ukali kama embe ngwangwa
badala soda baridi au juisi ya chungwa ushamba umekuzidi andazi wanyea togwaa
Wimbo unaitwa UTALIJUA JIJI na uliimbwa na Afua Suleimani kutoka East African Melody - Modern Taarabkazi yako ufisadi jeuri ngebe na nyodo baraka za ukaidi ukali kama embe ngwangwa
badala soda baridi au juisi ya chungwa ushamba umekuzidi andazi wanyea togwaa