Black ma colour
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 733
- 664
habari wana Jf.
nilikuwa naombi, mtu mwenye nyimbo za huyu mtaalam wengi hupenda kumuita profesa
Mohammed Ilyas. naomba mwenye nyimbo zake zote hata chache naomba aweke humu,
coz nimejaribu kuzitafuta sijafanikiwa, ingawa before nilikuwa nazo kabla sijaharibikiwa na disk.
thanks.