Smartbeing
JF-Expert Member
- Apr 7, 2014
- 323
- 427
Najua kuna wale wanaosoma kwa mfumo rasmi na wale wasiosoma mfumo rasmi sasa ningependa kufahamu kwa kutumia wataalamu waliopo humu ni taaluma gani ambayo unaweza kujiajiri maana kusubiri kuajiriwa inawezekana ukasubiri sana wakati mwingine kama kuna uhakiki wa vyeti feki. Pia elimu hii inaweza kuwasaidia wale ambao wameajiriwa na wanawaza kujiajiri pia;
1. Agriculture/Agroeconomics/Agribusiness
Sijajua majina yake kwa ukamilifu ila najua zinatolewa SUA nadhani zinaweza kuwa na majibu kwa haraka kwa wale wanaotaka kujiajiri maana mapori mengi nchini though return yake haiaminiki kama utategemea mvua na sio irrigation
2. Mechanical Courses
Hizi naona vijana wasio na elimu kama wanatoka haraka kupitia hizi through magereji na kwingineko, nashindwa ku-imagine kama hawa wanaosomea kabisa hizi kama wanapata ugumu kujiajiri
3. IT Courses
Hii inategemea zaidi ubunifu binafsi katika kutatua changamoto za watu katika ulimwengu wa Technology, wanaogundua vitu vinavyopendwa ndio wanaoenjoy zaidi
4. Politics
Hii mtaji maneno yako nadhani, unaweza kuanzia katika chama taratibu ukagombea serikali za mitaa ujumbe hadi kufika ngazi ya kugonga meza huku hela ikiendelea kuingia.
5......
Unaweza kutoa maoni yako kwa ambazo unaona zinaweza kuwezesha mtu kujiajiri