Taafikiane hili kwanza

🤣🤣Yeah sure ...from now on....ngoja niwaachie na kumada gwao waconclude wenyewe 😤
Hahaha.......wasije kunipopoa mawe Babu yao tu, maana Mada yako imewabamba ujue 🤪
 
Nakwambia maji tutaita mma kama vibogoyo😀😀

Ila for sure napendaga ulivyo charming na muwazi, nyuzi zako zinafurahisha sana.😀
Na nipo Kwa ajili ya hilo cute...furaha tu...ndo maana positive and negative comments nareply♥️♥️♥️ Asante Kwa kuappreciate mom
 
Kwa hiyo ata ulimi kule kwenye linda mukide tuu au mie ndio sijaelewa🤔🤔🤔🤔
 
Watu hawajui Sex is art
Mapenzi ni Sanaa
Kila mtu ana sauti ila sio kila mtu anaweza kuimba.

Kila mtu ana mjegejo na mjegejuo ila sio kila mtu anaweza kuvitumia.

Mapenzi/Sex ni kama Mchoro ambapo mwanaume ni Rangi na brush mwanamke ni ile karatasi inayochorwa.

Bila karatasi au rangi hakuna mchoro.
Lakini nature ya mchoro ni tofauti kabisa na Karatasi au Rangi.

Mtu yeyote anaweza kununua Karatasi na Rangi Dukani.
Lakini sio kila mtu anaweza kuchora kama Da'vinci
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…