Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,903
Starehe gani hiyo sasa mwanamume kushikwa kiuno na manzi? πNdo starehe yenyewe sasa
Masharti kama kwa sangoma [emoji23] mm navyopenda kuzururisha mikono sasa hatuwezi kuelewanaKupangiana huko
Lazima tudumishe uanaume hata kwenye starehe weweKupangiana huko
Unashika na tako kabisa? π³Masharti kama kwa sangoma [emoji23] mm navyopenda kuzururisha mikono sasa hatuwezi kuelewana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasumbufu aisee,kinachonikera wanatishia kutuvujisha damuβΉοΈMasharti kama kwa sangoma [emoji23] mm navyopenda kuzururisha mikono sasa hatuwezi kuelewana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiunoni ndio napenda kubonyeza pale penye vijishimoUnashika na tako kabisa? [emoji15]
We naye umezidi jaman,hadi kiuno??πππNishike kifuani, shingoni, kichwani au nishike mikono yangu
Mimi hata nikiwa namkiss manzi tukiwa tumesimama sitaki anishike kiunoni
Yeye anishike mabegani au shingoni mi nimshike kiunoni
Eti jaman sasa raha ipo wapi kukaa na baby masharti kibaoWe naye umezidi jaman,hadi kiuno??[emoji849][emoji849][emoji849]
Wa ivyo,unashika hadi tykkkooo una piga afu unakimbia kujihami ππππ
Kushikwa kiuno ni uanamkeWe naye umezidi jaman,hadi kiuno??πππ
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona utatolewa ngeuWa ivyo,unashika hadi tykkkooo una piga afu unakimbia kujihami [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
π π π ushindwee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28] ushindwee
Hivi kweli jamaa yako unambonyeza kwenye kiuno kwa chini na yeye katulia tu?Sawa
πAchana naye huyo....π€
ππππππππ€£π€£π€£ Mkorofi wewe π