Taadhari kwa wananchi kuhusu CCM

Taadhari kwa wananchi kuhusu CCM

keulankubha

Member
Joined
May 7, 2012
Posts
49
Reaction score
13
Ndugu zangu watanzania wenzangu huu ni muda wa muafaka kuhusu serikali ya CCM na kauli zao ambazo hazina tija katika jamii zetu na taifa letu kwa ujumla. Sipendi kuamini kama kuna watu bado wanajifanya kuwa wao ni CCM na wako tayari kuchagua CCM tena kulingana na ufahamu na uelewa wa watanzania wenzangu kuhusiana na serikali ya CCM ilivyo kwa sasa.
Ndungu zangu sitaongelea mengi sana kuhusu CCM maana mwenye macho haambiwi tazama labda nitagusia machache tu kwa juu, juu yanayo likumba taifa letu la Tanzania. Na katika kugusia kwangu ni kama malalamiko na ufananisho wa viongozi wa serikali ya CCM.

Najua nitawaudhi baadhi wa watu ambao wanamasilahi ya Pombe, kofia, tsheti na miatano, miatano kwa kutojitambua kwao. Wanadhani wao ndio watu wanaopendwa na viongozi wa CCM kumbe wanawatumia baada ya kujua ujinga wao walio nao na kutojitambua. kwahiyo kinakuwa ni kigezo cha kuwadharau na kuwapa ubabe CCM kutambua kuwa bado kunawatu ambao hawajitambui. Ndugu zangu kama bado uko unatumiwa na CCM sasa ni wakati wako kujitambua na kuwambia kuwa yatosha. Leo umejua umuhimu wako katika jamii sio kutumiwa/kutumika kama bubuzela kukipuliza itatoa sauti usipo puliza utandani nikitu kipo tu, ndugu zangu CCM wanakuthamini kipindi cha kampeni za uchaguzi zikiisha una lolote tena kwao. Sina mengi katika ili nadhani wananchi kwa sasa hakuna mwananchi wa kushabikia CCM.
UFANANISHO WA SERIKALI YA CCM NA VIONGOZI WAKE Nasikitika sana kwa kauli iliyo tolewa na RAIS wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete katika kauri yake ya kuitimisha katika kongamano anaposema anawashangaa CHADEMA kuona wana fikia maamuzi ya kufundisha vijana wao ukakamavu wa kujilinda.
Mimi binafsi sioni la ajabu kuhusu CHADEMA kuandaa vijana wao. Maana our government is corrupted imeoza na inanuka. Waliopo madarakani utadhani viongozi lakini ndani yake ni uozo mtupu. Sishangai kulingana na uozo wao wanayo yaongea yanafanana yao maana kitu kikioza unategemea nini wewe uliokaribu nacho?
Kwanza kabisa kumbuka kauri ya waziri Mkuu Mizengo Kayanza Pinda kama serikali kwa kauri anazozitoa zina ashiria kuwa hatuna serikali madhubuti kupambana na maovu yaliyopo katika nchi yetu. Ili nijambo ambalo linatuthibitishia kuwa wao ndio wadhamini na wafadhiri wa uvunjifu wa amani katika nchi hii. Kumbuka kauri anazo zitoa bungeni anapobanwa na maswali kutoka kwa wapinzania bungeni. Sio kwamba Pinda tu afai kuwa kiongozi bali watawala wote wa serikali ya CCM hawatufai kwa ujumla.
Pili jana nilishangaa kusikia kauri ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete. Kwamba anashangaa kuona CHADEMA hawakushiriki kwenye kongamano la kuongelea amani na utulivu katika taifa letu Tanzania.
Ili nijambo la kusikitisha kama sisi watanzania tunao dhani kuwa tuna viongozi kumbe ni viini macho katika taifa letu. Jambo la kusikitisha katika maovu yote yaliyotokea ya uvunjifu wa amani hapa nchini hasa hasa hili la bomu la Arusha. Viongozi wa chama cha CHADEMA wao walitangaza kuwa ushahidi wanao kuhusu mlipuko wa bomu na watu wasio litakia amani taifa letu, na kuomba Mhe. Rais kuhunda tume huru ya kimahakama ili wawape ushahidi lakini la ajabu Mhe. Rais ajafanya hivyo anakimbilia kongamano lina maana gani kwa watanzania wazalendo na wapenda amani? Nidhaili kuwa uvunjifu wa amani unaojitokeza na unao endelea kujitokeza katika taifa letu hawa viongozi ndio waratibu wa uvunjifu. Hakukuwa na sababu ya Mhe. Rais kutohunda mahakama huru katika uchunguzi huo, maana hapo ndio tungetambua kuwa Rais ni mtu anaye litakia mema taifa letu na wananchi kwa ujumla.
Haingii akilini mtu kama kweli una dhamira ya dhati kuhusu amani alafu uambiwe kuwa upo ushahidi wa kutosha kutambua mbaya wako na nvunjifu wa amani katika taifa lako unaloliongoza kama kiongozi unaye chukizwa sana na maovu ya uvunjifu wa amani katika taifa lako inabidi kulikemea kwa nguvu zako zote. Badala yake wewe ndio unaona haifai kuwa na tume huru ya kimahakama, unakimbilia kongamano, lanini na linatuhusu nini kama sisi Tanzania ambao tumepoteza ndugu zetu jamaa na marafiki zetu? Wakati umeambiwa kuwa ushahidi uko waza kama kutaundwa tume huru ya kimahakama, kwailo uko kimya hauko tayari kuliongelea na kulifanyia kazi. Sisi kama watanzania tukueleweje katika utawala wako kama sio uozo wa kiutawala.

Jifunze kwanza kutoka kwa wenzetu mfano juzi mmempokea Rais wa Marekani Baraka Obana wao kama Marekani wanamthamini mtu yeyote wa nchi yao aijalishi ni raia au kiongozi yeyote. Ingawa wao Marekani ni wanafiki katika nchi nyingine lakini kwa taifa lao awajambo.
Chadema wametoa sababu zao zilizo wafanya wasihudhurie kwenye kongamano hilo na za msingi. Nadhani hata ninyi serikali ya CCM mnajua labda mnataka kufumbia macho na kupotosha umma kuwa Chadema ni chama cha maajabu, lakini bahati nzuri watanzania ni watu makini na waelewa wanajua kila mbinu mnazo zitumia. Kwaiyo naomba nitumie mwanya huu kusema kuwa CCM na serikali yake hamtufai kabisa sisi watanzania wapenda amani. Sababu jambo la kusikitisha ni kwamba sijawai kuona Chama chochote cha Upinzani kinaanzisha vurugu katika mikutano au maandamano. Vurugu ujitokeza kwa asikari polisi kuingilia kati na kusababisha uvunjifu wa amani.
Pia bila aibu utawasikia wakiongea kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuwa viongozi wa CHADEMA walikuwa wanafanya mkutano usio wa harali usio na kibali. Wanadhani watanzania hakuna wanalolijua au hawajui taratibu gani zinaweza kutumika kulingana na viongozi walio kaidi na kufanya mkusanyiko usio wa harali. Kimsingi tunajua watu wa kuchukulia atua bila kutawanya watu kwa risasi za moto au mabomu ya machozi. Kwasababu tunajua kuwa asikari ni kulinda usalama wa raia na raslimali zao sio kutawanya kurusha mabomu na risasi za moto maana kuna madhara yanayoweza kujitokeza hilo mnalijua bali mnakaidi ili kutimiza malengo yenu ya uvunjifu wa amani, na sio kulinda raia.

Kufanya mkutano usio harali au bila kibali sio sababu ya uvunjifu wa amani wakati wausika wanajulikana. Kama kweli mkutano sio harali kwanini msisubiri wamalize mkutano wao kwa amani alafu wakachukuliwe hatua za kisheria?. Maana unapo ona kusanyiko lolote ukitumia ubabe wa kuwafukuza/kuwatawanya watu jua kuwa wewe mwenyewe ndio unasababisha uvunjifu wa amani. Je, hilo hamlijui au mnalijua mnafanya makusudi ili kutimiza dhamila yenu kusababisha uvunjifu wa amani na mauaji? Je, wakurahumiwa ni nani kati ya aliyefanya mkutano au maandamano ya amani ya sio na kibali na nyinyi ambao mmesababisha mauaji na uvunjifu wa amani kwa kuwatawanya na kusababisha vifo na majeruhi?.

Je, serikali ya CCM na viongozi wake kama kweli wako hai niatua gani zinachukuliwa dhidi ya askari polisi katika uvunjifu wa amani? Pili kama kweli kongamano la jana lilikuwa la kutafuta amani Mhe. Waziri Mkuu Mizengo Kayanza pinda amechukuliwa hatua gani kama kiongozi mchochezi na msababishaji wa uvunjifu wa amani katika taifa letu? Je, kauli yake ya kutoa watu makucha, kung’oa meno na piga tu ataifutaje katika jamii yetu ya Tanzania ambao tumezoea amani na utulivu wa watanzania. Na kauli za kiongozi mkuu yaani sirikali anayoiongoza kama waziri mkuu wa Tanzania.

Je, katika kongamano hilo ni kiongozi gani ambaye amechukuliwa hatua ili awe mfano bora kwa wengine bila kujali cheo wala chama chochote cha kisiasa? Jambo la kushangaza hakuna mtu yeyote aliyechukuliwa hatua za kisheria maana wote wachochezi na wavunjifu wa amani wako katika chama tawara ndani ya serikali ya CCM. Mfano mzuri Mwigulu Mchemba Pinda na wengine wote walio usika na kauri za kutatanisha na za uvunjifu wa amani na kweli zikajitokeza.

Hii ndio sababu ya kuona kuwa CCM imeoza maana kila mtu hajitambui wala hajui wadhifa wake kama kiongozi/mtawala, wala hawajui kama wao ni viongozi. Mimi nawafananisha na mizoga iliyohoza maana haijui iliko wala inawanukia wakina nani wala haijitambui ilipo ni sawa sawa na viongozi wetu wa serikali ya CCM hawajitambui kama wao ndio viongozi wanao paswa kulinda maisha ya watawaliwa wao. Maana wananchi usalama wao utegemea kutoka kwa viongozi, lakini sasa hivi wao ndio wamekuwa maadui wa wananchi. Ili nalifananisha na kufuga mbwa muda wote unajua kuwa mbwa wako hana kichaa lakini kama kweli kila siku unaambiwa na wataalamu kuwa mbwa wako kampe chanjo hutaki unategemea nini? Ili ni sawa sawa na wapenda amani wamesema sana kuwa CCM haitufai kabisa ila wananchi tumekuwa ving’ang’anizi kama kupe katika ngozi ya ng’ombe na siafu na kiatu, matokeo yake CCM na serikali yake wamekuwa vichaa na kuwalalua wananchi wake na kuwaua. Ndungu zangu tuchukue hatua sitahiki kujilinda na kujikinga na ugonjwa wa ukichaa ambao umejitokeza ndani ya serikali ya CCM. Ukichaa huu wa serikali ya CCM haukubaliki tuukemee na tuukatae hautufai hata kidogo kama sisi wananchi wapenda amani na utulivu katika taifa letu.

Mwisho nawaomba wananchi kuchukua hatua ili kujilinda na kujikinga na adui zetu CCM. Kila mtanzania achukue tahadhari haraka sana iwezekanavyo maana huu ugonjwa ni atari kwa maisha yetu wapenda amani.
Rememberthat “God will not give any solder ammunition who does not willing to go into battle” or “when a man going down the hill everyone will give him a push”. :help:
 
jitahidi kufupisha uzi wako kwa nukta zinazoeleka. napita. nitasoma baadaye
 
Maneno meeeengiiiii ila pointless. Sasa wapelekee ujumbe wenzako kuwa , CCM ni chama chetu watanzania wote, tunakipenda na tutakienzi hakuna chama zaidi ya CCM.
 
Shabash umemaliza kila kitu waoza hawa CCM. Kikwete ni mmoja kati ya Wanafiki wakubwa lakini wakati utamsuta.
 
Maneno meeeengiiiii ila pointless. Sasa wapelekee ujumbe wenzako kuwa , CCM ni chama chetu watanzania wote, tunakipenda na tutakienzi hakuna chama zaidi ya CCM.

Angalieni hii MISIKULE!!!!
 
Watae kusoma hawana kazi, wanangoja maadamano wakapore.
 
Maneno meeeengiiiii ila pointless. Sasa wapelekee ujumbe wenzako kuwa , CCM ni chama chetu watanzania wote, tunakipenda na tutakienzi hakuna chama zaidi ya CCM.
Sema chama change,eti watanzania wote umetokewa na popobawa nin?,hata kuliandika neno ccm kinyaa 2pu
 
CCM ndio chama cha watanzania wote na ww ukiwemo kuanzia babu yako, wazazi wako, watoto wako, na familia yako nzima.
 
Nimetumia muda wangu kutoa maoni kisha yanapotea hewani, hii ni kuchezeana akili na muda wa mtu. Uwazi wa kutoa ni upi?
 
Back
Top Bottom