Taadhari kwa madereva wa gari ndogo

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,280
2,000
Kwa wale wasafiri mnaotumia gari binafsi kutoka mikoa ya arusha na kilimanjaro kuja dar mnatakiwa kuwa makini sana katika kuendesha maana gari ndogo ni nyingi sana barabarani zinatoka mikoa tofauti hususani dar kuelekea moshi na arusha pia sio wote ni madereva wazoefu wa kundesha safari ndefu wengine ndio kwanza wamenunua gari wanamcheche wakwenda kutanua makwao.
 
Kama leo ndio siku mbaya sana kwenye hiyo barabara
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom