Taa za solar

Taa za solar

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
571
Reaction score
157
Natafuta taa za solar za kusomea.
Nitapata wapi hapa Dar? Naomba location na contacts za wauzaji kama inawezekana. Nahitaji nizipate kesho.
Maana hawa watoto wetu wanafeli vibaya mno, wengine wanasingizia hawana taa za kusomea huko vijijini.
Sasa nimewanunulia vitabu vya watunzi wote hapa Tz (kina Nyambari Nyangwine n.k), wasome tuition n.k - sasa wanasingizia hawana taa za kusomea. Nataka nitoe lawama!
 
Kama upo Mwanza nenda ZARA Solar ni wauzaji wa kuaminika na bidhaa za uhakika. Zipo solar pack za taa nne ambazo bei ni 140,000 na nyingine za LED ni 200,000. angalizo- zipo nyingine za feki hivyo ulinunue hovyo
 
Back
Top Bottom