Taa za Solar

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,932
Kutokana na kukosekana kwa umeme wa uhakika na kupanda gharama za bei ya mafuta, umeme wa solar ndio njia mbadala wa kujipatia mwanga pindi giza liingiapo. Kwa mtaji kidogo unaweza kumaliza kabisa shida ya kukaa gizani. Kuna aina nyingi za matumizi ya umeme wa solar kutegemea na mahitaji yako, hata hivyo kama ni kwa matumizi ya mwanga hili linawezekana kabisa. Picha hizi zinaonyesha kit ya kujipatia mwanga nyumbani pamoja na matumizi ya ku charge simu.


 
Mkuu ulinunulia wapi hiyo kit..? Na je unaweza kunipa maduka mazuri ya jumla kwa dar kuhusi solar na taa za solar?
 

[HASHTAG]#000000[/HASHTAG]umenunua being gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…