mzeemitomingi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 267
- 74
Wadau heshma kwenu...
Wakuu kwa wale walio madereva, kuna taa za kugara mfano wa theluji ambazo mtu hununua balbu dukani na kuireplace iliyokuja na gari kwa lengo la kufanya marembo ya gari...
Faida zake:
Mwanga wenye mng'aro wa tofauti na wengine uwapo barabarani na pua ni km swaga ya kijanja mjini.
Hasara zake:
Mwanga wake hung'aa sana na kumfanya mtu anayepishana naye kuumia macho maana pia mng'aro wake hutawanyika barabarani tofauti na zile ordinary bulb ambazo hu-focus sight moja ya barabara...
Karibuni wadau kuzidiscus hizi situation na tupate mwelekeo km zipigwe marufuku au ziungwe mkono