View attachment 173670View attachment 173671 hiyo kama chemli 25000 hicho cha duara katikati 15000 hiyo ya mwisho ina panel ndogo waweza chaji na cm kwa dharura 40000
Kama uko mwanza nenda Zara solar opposite na Ashiraff House/building au msikiti Wa Ijumaa. Kubwa ambazo ndo nzuri kabisa wanauza laki na nusu.Nahitaji taa inayotumia mionzi ya jua ambayo inahamishika (a portable solar lamp) yenye uwezo wa kutoa mwanga kwa muda usiopungua masaa 6. Inaweza kuwa ya buld moja au zaidi, kwa matumizi ya muda mfupi katika mazingira ambayo hakuna umeme wa vyanzo vingine.
Kama kuna mwenye taarifa ya mahali zinapopatikana hasa hasa katika miji ya Mwanza na Dar basi naomba anijulishe.
View attachment 173670View attachment 173671 hiyo kama chemli 25000 hicho cha duara katikati 15000 hiyo ya mwisho ina panel ndogo waweza chaji na cm kwa dharura 40000
Zinapatikana wapi mkuu?
Naomba tuwasiliane ili kesho nije kuchukua moja.
Duh, si ungeniambia nikupe solar king ya mmarekani yenye kuweza kuwaka mpaka masaa 36. Pia ina port mbili za kucharge simu na tablet
Warrant ni 2 years, ila iko juu; sh 75,000 isiyoweza kicharge simu ni sh 25,000

Mkuu uko mkoa gani nikusake nichukue hiyo?
naomba namba zako
Dar, Kigoma na Tabora kote niko. You can call kwa Dar no 0757174445
Warranty ni 5 years not 2.
Duh, si ungeniambia nikupe solar king ya mmarekani yenye kuweza kuwaka mpaka masaa 36. Pia ina port mbili za kucharge simu na tablet
Warrant ni 5 years, ila iko juu; sh 75,000 isiyoweza kicharge simu ni sh 25,000 na ina up to 30 hrs za kuwaka.
A small system yenye taa 4, port 2 za simu na moja ya radio inauzwa 280,000/=
Thanks in advance mkuu, in case nikiwa mwanza, mzigo nitaupataje?