Wanajamvi naulizia upatikanaji wa lamp ya projector aina panasonic model PT-LC56E yangu inakaribia kuisha muda kwani imebakisha masaa kama 100 hivi nahitaji kujua wapi ntaipata hapa tz na kwa kiasi gani na kama ni kuagiza itakuwa bei gani. Thanx in advance.