Mteja asante sana kwa kutoa feedback. Ila pia kumbuka tulikupa warranty ya mwaka mzima ili kama hukuridhika na utendaji wake, urudishe na upatiwe nyingine. Kama mwaka haujaisha, unakaribishwa mkuu. Pia hatukatai kwamba zipo baadhi ambazo uwezo wake wa kuwaka si wa saa nzima. Hilo tumeligundua na tunalifanyia kazi. Mathalan katika kutengeneza kuna baadhi hazikufikia kiwango, hivo basi nachukua nafasi hii kuomba radhi wote walionunua na kutoridhika na utendaji wake. kama bado upo kwenye kipindi cha waranti, ilete na tutakuadilishia.
Asanteni & karibuni.