futikamba JF-Expert Member Joined Jan 18, 2010 Posts 243 Reaction score 13 Feb 20, 2011 #1 Hello JF, Sasa taa ya ajabu inachaji Simu pia!! Haitumii Betri Haitumii umeme wa jua Haitumii Mafuta ya Taa/Petroli/Dieseli Waranti ya mwaka mmoja kwa kila manunuzi. Ndogo na inabebeka Crank BoxInawasha taa kwa muda wa saa 1 kwa kubonyeza tu. Heh! Inachaji Simu pia. Kwa TZS 20,000/= Unaweza kupiga simu na kupata mwanga wakati wowote na mahali popote kwa kubonyeza tu. Je unahitaji kuwa wakala kwa bidhaa hii? Wasiliana nasi Tel: +255 222 618 217 Mobile: 0653 297681 au 0715 997688 E-mail: tanhompowersys@gmail.com Je Unahitaji bidhaa hii?! Tutembelee, Tupo mbezi Beach - Samaki Karibia kabisa na kituo cha daladala. Karibuni.
Hello JF, Sasa taa ya ajabu inachaji Simu pia!! Haitumii Betri Haitumii umeme wa jua Haitumii Mafuta ya Taa/Petroli/Dieseli Waranti ya mwaka mmoja kwa kila manunuzi. Ndogo na inabebeka Crank BoxInawasha taa kwa muda wa saa 1 kwa kubonyeza tu. Heh! Inachaji Simu pia. Kwa TZS 20,000/= Unaweza kupiga simu na kupata mwanga wakati wowote na mahali popote kwa kubonyeza tu. Je unahitaji kuwa wakala kwa bidhaa hii? Wasiliana nasi Tel: +255 222 618 217 Mobile: 0653 297681 au 0715 997688 E-mail: tanhompowersys@gmail.com Je Unahitaji bidhaa hii?! Tutembelee, Tupo mbezi Beach - Samaki Karibia kabisa na kituo cha daladala. Karibuni.
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,255 Reaction score 10,503 Feb 20, 2011 #2 Hivi hizo taa ndio kama zile zilizokuwepo kwenye vyumba vya kuhesabia kura?
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,360 Reaction score 2,389 Feb 20, 2011 #3 Mkuu zimepanda bei?
P Pokola JF-Expert Member Joined Jul 16, 2010 Posts 716 Reaction score 179 Feb 20, 2011 #4 Baada ya kutumika kwa saa moja, kinatokea nini?
futikamba JF-Expert Member Joined Jan 18, 2010 Posts 243 Reaction score 13 Feb 20, 2011 Thread starter #5 Husninyo said: Hivi hizo taa ndio kama zile zilizokuwepo kwenye vyumba vya kuhesabia kura? Click to expand... Mkuu hizi ni tofauti na hizo. Karibu tutembelee ujionee mwenyewe kama upo DSM
Husninyo said: Hivi hizo taa ndio kama zile zilizokuwepo kwenye vyumba vya kuhesabia kura? Click to expand... Mkuu hizi ni tofauti na hizo. Karibu tutembelee ujionee mwenyewe kama upo DSM
futikamba JF-Expert Member Joined Jan 18, 2010 Posts 243 Reaction score 13 Feb 20, 2011 Thread starter #6 Inkoskaz said: Mkuu zimepanda bei? Click to expand... Hapana mkuu wangu. Bei ya taa za mwanzo ni ile ile 15,000/=. Hii taa ni mpya, inachaji simu ndio maana bei yake ni 20,000/=. Karibu sana dukani kwetu...
Inkoskaz said: Mkuu zimepanda bei? Click to expand... Hapana mkuu wangu. Bei ya taa za mwanzo ni ile ile 15,000/=. Hii taa ni mpya, inachaji simu ndio maana bei yake ni 20,000/=. Karibu sana dukani kwetu...
futikamba JF-Expert Member Joined Jan 18, 2010 Posts 243 Reaction score 13 Feb 20, 2011 Thread starter #7 Pokola said: Baada ya kutumika kwa saa moja, kinatokea nini? Click to expand... Mkuu kama upo DSM, basi karibu Mbezi - Beach Samaki ili ujionee mwenyewe kwani "seeing is believing"!
Pokola said: Baada ya kutumika kwa saa moja, kinatokea nini? Click to expand... Mkuu kama upo DSM, basi karibu Mbezi - Beach Samaki ili ujionee mwenyewe kwani "seeing is believing"!
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,255 Reaction score 10,503 Feb 20, 2011 #8 futikamba said: Mkuu kama upo DSM, basi karibu Mbezi - Beach Samaki ili ujionee mwenyewe kwani "seeing is believing"! Click to expand... sasa ambao hatupo dar na hatupajui tutaonaje ili tuamini?
futikamba said: Mkuu kama upo DSM, basi karibu Mbezi - Beach Samaki ili ujionee mwenyewe kwani "seeing is believing"! Click to expand... sasa ambao hatupo dar na hatupajui tutaonaje ili tuamini?
drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 295 Feb 20, 2011 #9 baada ya saa moja kinachofata nn?
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,360 Reaction score 2,389 Feb 20, 2011 #10 drphone said: baada ya saa moja kinachofata nn? Click to expand... nadhani ina kitu kama dynamo unacrank kurecharge upya
drphone said: baada ya saa moja kinachofata nn? Click to expand... nadhani ina kitu kama dynamo unacrank kurecharge upya
J Jizo Member Joined Mar 6, 2011 Posts 19 Reaction score 0 Mar 22, 2011 #11 zinachaji simu kwa masaa mangapi?