G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,276
- 38,847
Nyie wapinzani washiriki mmeona huko?
CCM wanataka bunge la pure and poor machawa. Nyie endeleeni kusindikiza ila kama Mpina ambaye ni mpinzani mwenye kaupinzani kiduchu ameenguliwa na hatakiwi itakuwa nyie pangu pakavu? CCM safari hii ndiyo imepania kabisaa kwamba haiachii kitu na ndiyo maana walianza na kugawana majimbo mapema.
Zitto aendelee kuota ndoto za kulinda kura wakati hata hizo kura za kulinda hazitakuwepo.