T-Shirts...T-Shirts!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
16,202
Reaction score
8,787
Tafadhali ajuaye mahala naweza kuzipata na kuprint Tshirts quality kwa bei nafuu hapa Arusha. Natambua uwepo wa A TO Z, lakini quality za Tshirts zao sizo ninazohitaji.
Tafadhali.
 
Yawezekana kupata mkuu,sema unataka kiasi gani na budget yako ikoje..? Nione namna ya kukusaidia..? Wewe uko wapi sasa.? Maana mambo ya pesa yanaenda kipesa.!
Yawezekana kupata kitu cha aina hii?...na maandishi yake?
 
Yawezekana kupata mkuu,sema unataka kiasi gani na budget yako ikoje..? Nione namna ya kukusaidia..? Wewe uko wapi sasa.? Maana mambo ya pesa yanaenda kipesa.!

Tafadhali ajuaye mahala naweza kuzipata na kuprint Tshirts quality kwa bei nafuu hapa Arusha. Natambua uwepo wa A TO Z, lakini quality za Tshirts zao sizo ninazohitaji.
Tafadhali.
Thread orijino imeeleza nilipo broda!...
 
Thread orijino imeeleza nilipo broda!...
Arusha ni jina la mkoa,inawezekana upo wilayani, au hata kama ni hapa Arusha mjini labda Moshono,Mbauda,Sekei nk.Any way asante kwa majibu mazuri na nimekuelewa mkuu.!
 
Nadhani hao A to Z na San Flag ndio the only kama sio the biggest manufactures wa Tshirts kwa Tanzania unless unataka imported lakini hata hivyo hao hao A to Z na San Flag huwa wanasafirisha mizigo mpaka nje ya nchi (ndio soko lao kubwa) kwahio nadhani ukiongea nao watakwambia kuhusu quality; na itakuwa cheaper..., zaidi ya hapo itakuwa imported Tshirts na kuhusu printing wapo wengi wanaofanya hizo shughuli ila kwa urahisi wa kufuatilia kazi nakushauri tafuta printers hapo hapo Arusha...
 
Tafadhali ajuaye mahala naweza kuzipata na kuprint Tshirts quality kwa bei nafuu hapa Arusha. Natambua uwepo wa A TO Z, lakini quality za Tshirts zao sizo ninazohitaji.
Tafadhali.

Tshirts ...quality nunua Kariakoo (Imported)...sehemu ya ku print itategemea aina ya printing..heat transfer, screen nk printer wazuri wapo Dar.
 
Njia rahisi ni kutafuta tshirt unazozipenda wewe na ununue zikiwa plain utapata kwa bei chini then unatafuta printer mzuri kwa bei nzuri unampa anakuchapia. Otherwise usishangae kukutana na madalali wanakuuliza "una shilingi ngapi"!!!!!!!!!
 
Mkuu unataka kuprint tsh za ainagan I mean kitambaa gani like cotton. ..silk ..nakadhark ni ainagani ya kitambaa wataka
 
Last edited by a moderator:
mkkuu tuonane mm ninaprint tshirt na kofia na mambo ya advertising kwa ujumla
Tafadhali ajuaye mahala naweza kuzipata na kuprint Tshirts quality kwa bei nafuu hapa Arusha. Natambua uwepo wa A TO Z, lakini quality za Tshirts zao sizo ninazohitaji.
Tafadhali.
 
Wooote wamechangia tu, hakuna aliyejitokeza kuwa supplier.. Mimi nahitaji aina hiyo, rangi kijivu ama light blue..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…