T-SHIRTS PRINTING

T-SHIRTS PRINTING

Alu90

Member
Joined
May 25, 2019
Posts
5
Reaction score
0
Habari

Naprint tshirts zenye ujumbe wowote za ofisini, kikundi, birthday, msiba nakadhalika. Tshirts za Quality nzuri na Bei nzuri pia

Namba ya simu
0682-820202
Elizabeth

Asanteni
 
T-shirts zako nzuri asee!kama hiyo ya pili kutoka chini inaweza kuwa sh ngapi?
 
huwa unaprint mwenyewe au unapeleka kwa wenye mashine na ujuzi wakuprintie designs zako??

kama unapeleka kwa printers karibu workshop kwangu.. bei cheeee
 
Atata mimi nimeipenda hiyo nyeusi.. Na hiyo ya kwanza.. Ni shiling ngp
 
Habari

Naprint tshirts zenye ujumbe wowote za ofisini, kikundi, birthday, msiba nakadhalika. Tshirts za Quality nzuri na Bei nzuri pia

Namba ya simu
0682-820202
Elizabeth

Asanteni
Endelea kuprint ukimaliza tuletee picha
 
Nikupe Marketing strategy | nitengenezee T-shirt kwa logo yangu then nipe bure, nikivaa wataniuliza nikakuwa nawapa namba yako.
 
Back
Top Bottom