Huo mkeka watauachia mida ya kulala nini?
Sema leo wamejua kukomesha watu tangu asubuhi watu wanatembelea website yao...
Watu wanaosubiri matokeo ya TRA leo wamefika hatua ya ku-refresh website hadi screen imewambia: Bro, hata mimi sijui! Jamani, msinilazimishe kusema uongo!