Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,254
- 44,363
Hapana Aisee, na resale mbovu ni refurb international version zina resale nzuri tu. S9 international bado ni zaidi ya milioni 1 bei yake, Na imetoka zaidi ya miaka 3 iliopita.Hahaha unashangaa nini mzee, nenda Aggrey pale uone, samsung utahangaika kioo tuu lakini saketi za kumwaga, hujui Samsung zilivyokua na Re-sell price mbovu!
Hapana Aisee, na resale mbovu ni refurb international version zina resale nzuri tu. S9 international bado ni zaidi ya milioni 1 bei yake, Na imetoka zaidi ya miaka 3 iliopita.
Hiyo saaketi ndio niniS9 saketi 30k?
Refurb za iPhone 8 ni chini ya dola 200 Amazon, sawa na s9 tu.Brand new S9 plain haizid 600k S9+ 700k na hiyo ni zaidi 64GB, refurb zinacheza kwenye 350k and less... na i have proof, wewe tuipe Muda Ultra uone itakavyoporomoka bei within 2-3 years utakuta inauzwa bei ya iphone X
Ni motherboard machine ya ndani, Aggrey ukisema unataka motherboard wana kuuzia kava gumu la ndani lile, saketi ndio jina wanalotumia wengi.Hiyo saaketi ndio nini
Ni motherboard machine ya ndani, Aggrey ukisema unataka motherboard wana kuuzia kava gumu la ndani lile, saketi ndio jina wanalotumia wengi.
Ndio mimi mwenyewe nimeshangaa Sababu kila kitu kipo humo, zingekuwa bei rahisi hivyo watu wasingehakaika na matatizo ya simu kabisa,Ok. Mbona bei rahisi sidhani kama ndo bei yake
30k bei ndogo sana. Yaani hyo 30k ndio niliuza motherboard ya Note 4 yangu miaka ya nyuma hapo. Na hapo motherboard ilikua na shida ya kujizima. 30k utapata motherboard ya magumashi tuOk. Mbona bei rahisi sidhani kama ndo bei yake
Korean version hyo mkuu. Kama una computer yenye windows kaa chini tulia, pitia YouTube unagalie tutorial za kuflash Samsung phones kutumia odin. Stock firmware yake unaipata kirahisi tu kwa kutumia tools kma SamFirm tool or Frija tool unakamata firmware yako kwa speed nzuri tu. Hapo unapata full firmware una flash na Odin mwenyewe. Odin haiwezi brick simu yako kma umepata firmware sahihi.Hapo inaonekana vizuriView attachment 1776923
hakuna sehemu ya kijinga kama kkoo,mnaipa vyeo tu,kuna ubabaishaji sana.Hahaha unashangaa nini mzee, nenda Aggrey pale uone, samsung utahangaika kioo tuu lakini saketi za kumwaga, hujui Samsung zilivyokua na Re-sell price mbovu!
hakuna sehemu ya kijinga kama kkoo,mnaipa vyeo tu,kuna ubabaishaji sana.
ukienda unauza kioo spare wanalia hazinunuliki,nenda ukatafute wewe kioo sasa utashangaa bei zao.
mwaka juzi nimeenda na jamaa yangu na samsung note edge,ilikuwa inasumbua sakiti yake,tukauliza tukaambiwa ni 125k mpya,au 70 used,tukaagiza iletwe,dogo yule alizurula kama mbwa akaja kuleta zile story zenu za kuna mzigo mpya unaingia kesho wa mhindi[emoji16][emoji16].tukamwambia kausha dogo achana nayo,acha tuuze kioo.happ ujue tuliishaulizia wakatwambia kioo cha note edge ni 180.
kwenda kwa mnunuaji,kwanza ni mmoja mdada hivi.
tukamueleza nia yetu,akatwambai atupe 30k[emoji28][emoji28],daah.
nikamwambia mwana tukiweke mtandaoni tu namba atakayekitaka atatitafita,siku tatu mbele tukapigiwa na mpemba tukakiuza kwa 180 ile ile.
kwahiyo story za sakiti ya s9 kuuzwa 30k mzee baba,si tu unamtafutia ndugu yetu uhasama bali na matatizo pia.
Swali: Una PC ya windows? Kma unayo sema tukuekeleze hapa hapa kwenye uzi step by step una flash official firmware unaendelea na mambo yako.Naomba anaejua sehemu kuna fundi mzuri wa simu software kwa hilo tatizo anisaidie kwa maeneo ya mwanza , kigoma, kahama ili niipeleke maana naona fundi wangu huyu nikirudi kumng’ang’ania ataiua hii simu. Maana naumia kuona simu nimeinunua garama inakuwa kirahisi namna hiyo hapana asee..
Swali: Una PC ya windows? Kma unayo sema tukuekeleze hapa hapa kwenye uzi step by step una flash official firmware unaendelea na mambo yako.
Kuflash file official la Samsung wenyewePc yangu Ina window ten yes na na flash official firmware ndo nini mkuu nieleweshe kwa lugha nyepesi
Mi nishakwambia hapo juu. Ukiwa tayari na bundle lako sema uelekezwe hapa hapa. Hlo file unapata kiurahisi tu mbona.Wadau wa forum hii na ma fundi wa simu software nimewasiliana na fundi mwingine kanambia nitafute kama naweza kupata file la binary 4. A nielekeze jinsi ya kuinstall tena kasema ni rahisi
Hiyo simu ni Korean version mkuu,,na rom iliyokuepo mwanzo ilikua ni dual sim rom ...sasa fundi wako alitakiwa afanye kubackup kwa twrp ndio apige hiyo stock..na ukipiga stock automatically dual simu inasepa..
Chakufanya atafute dual sim rom android 10..kisha aroot simu kwa magisk alaf aflash sasa hiyo rom kwa custom recovery (twrp)...na hapo imei huenda itakuja ku corrupt kwaiyo lazma awe na box ya z3x au chimera ndio atafanikiwa incase mambo yatakua hivyo
Firmware ya dual simu hii hapa
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app