donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,523
- Thread starter
- #21
Hii ngoma ziwani?
Hii ngoma ziwani?
Hii ngoma ziwani?
Thanks God It's FurahiDay, party starts...View attachment 1864453
Wachina wakamatwa wakizalisha vinywaji feki Dar?
Kama ni mla K Vant na Moet, basi hii ni kwa ajili yako. Yasemekana hao mabwana kutoka Asia ya Mashariki wamekamatwa jijini Dar wakiwa kwenye ‘karakana’ yao la kufyatua kopi za vinywaji hivi murua. Hivi huwa wanapataje vifungashio visivyotia shaka? Kwa uchafu wa hayo madumu, huenda yanahifadhia...www.jamiiforums.com
Figo na maini yako taabuni kweli kweli hapo
LC 70 seriesThe ride mus be Toyota
sisimizi na wadudu kule kaburini wataambulia patupu.Figo na maini yako taabuni kweli kweli hapo