T. Daima latumiwa kushinikza serikali kuilipa Dowans?

Maskini sitta! Tunapaswa kukulaumu sana wewe maana tuliwakamata kooni wewe ukawa mnyonge ukawaachia! sasa unalia sisi tufanyeje. Ulituuza na sasa baada ya kupoteza uspika ndipo unaona madhara ya uliyofanya? Unakuwa kama Mkapa - aliuza viwanda akikaidi maoni yetu baada ya kutoka madarakani akasema - ningejua!; tulimweleza ufisadi umekithiri akajibu - mna wivu wa kike; tulimdai katiba mpya akakataa - leo anasema naye katiba mpya ni muhimu! Na kikwete akitoka madarakati atasema kweli mafisadi wameimaliza nchi ningejua......!
MMetuchosha, mnapokuwa madarakani msilewe, mtusikilize
 
Hakuna kuwalipa mafisadi na tuone watafanya nini. Ikibidi tuwaombe CDM waitishe maandamano nchi nzima kupinga kitu kama hicho. Tumechoka.
siungi mkono maandamano,

tuna mengi ya kufanya kujenga nchi yetu na kujitolea zaidi ya kuandamana

NI BORA UNGESEMA ILI KUIPINGA SERIKALI TUMEAMUA KUJITOLEA KULIMA EKARI LAKI MBILI ZA ALIZETI NA KUUZA NA TUKIPATA PESA TUWE NA NGUVU ZA KUPAMBANA NA MAFISADI
 
Nadhani hapa kuna propaganda ya kufanya tulichukie gazeti la Mtanzania Daima. Hatudanganyikiiiiiii!
 
Back
Top Bottom