T. Daima latumiwa kushinikza serikali kuilipa Dowans?

Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Messages
5,410
Likes
22
Points
0
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2008
5,410 22 0

Sitta amechemka - Wanasheria

Siku moja baada ya Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, kutoa maoni yake kuhusu hukumu ya mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa migogoro ya kibiashara (ICC), iliyopipa ushindi kampuni ya Dowans dhidi ya shirika lka ugavi wa umeme nchini Tanesco, baadhi ya wanasheria wamedai mwanasiasa huyo amechemka.

Hukumu hiyo iliyotolewa hivi karibuni iliamuru Tanesco kuilipa Dowans kiasi cha Sh bilioni 185 kama fidia kwa kuvunja mkataba kati yake na shirika hilo.

Katika sehemu ya maoni na ushauri wake kwa serikali kuhusiana na hukumu hiyo, pamoja na mambo mengine, Sitta, pamoja na mambo mengine, alinukuliwa na vyombo vya habari juzi akisema,

“…hukumu iliyotolewa dhidi ya TANESCO ni mwendelezo wa hujuma kubwa dhidi ya taifa kwa vile inaonekana wazi kwamba kuna kundi la watu maarufu ambalo ndilo chanzo cha suala hilo, na ambalo kwa namna moja au nyingine lilishiriki kuhujumu mwenendo wa kesi ili serikali ishindwe, wao walipwe pesa.

Waziri huyo pia aliishauri serikali isilipe fidia hiyo iliyoamuliwa katika hukumu hiyo.

Hata hivyo baadhi ya wanasheria nchini jana walielezea kushangazwa kwao na kauli hizo za Sitta kwa kile walichodai kuwa zinaweza kuwahamasisha au kuwashawishi wananchi kuacha kutii amri na maamuzi ya sheria za kimataifa.

Mmoja wa wanasheria wa sheria za biashara nchini, Henry Chaula, alisema Sitta alikosea sana kutoa kauli hizo kwani serikali ya Tanzania inaendeshwa kwa kufuata utawala wa sheria.

Alisema serikali ilikubali yenyewe Tanesco kwenda katika mahakama hiyo, hivyo maamuzi yoyote yaliyotolewa mahakamani hawana budi kuyapokea.

Aliongeza kwamba madai ya kesi hiyo kuingiliwa na mafisadi hayana ukweli wowote kwani ilihusisha pande mbili tu, Tanesco na Dowans.

“Serikali iliridhia sheria za mahakama hiyo, hivyo hukumu iliyotolewa haina shaka na serikali ilikubali,” alisema mwanasheria huyo.

Mwanasheria mwingine kwa sharti la kutotajwa jina lake alisema:

“Kama n I kweli Waziri Sitta amenukuliwa na hayo magazeti, basi mimi nasema Sitta amepotoka kwani yeye ni mwanasheria hakupaswa kutoa ushauri huo………………………

………”Afadhali angesema Tanesco ikate rufaa au ikae chini na Doiwans wazungumze nao…………./

Habari zaidi katika Tanzania Daima ya leo.
My Take (angalizo nilipohighlight in red):

1. Hii sasa ni project ya RA/EL na inaonyesha how the two are in full swing kutaka walipwe pesa.
2. By the way, who is Henry Chaula. Mwenye CV zake etc atujuze.
3. Anasema suala zima hilo halikuingiliwa na mafisadi – sijui anaishi dunia gani, hii ya Tanzania kweli? Tumuulize kalipwa ngapi na RA/EL kuwapigia tarumbeta?
4. Mahakama hiyo ya kimataifa haitambuliwi kisheria za kimataifa kwani haiko chini ya chombo kama vile UN. Ni taasisi binafsi tu ya watu walioamua kufanya biashara ya kuamua kesi zitokananzo na migogoro ya kibiashara kwa kulipwa fees. Hiyo mahakama inayo uwezo kisheria ku-enforce hukumu zake? Kama vile zilivyo mahakama za nchi zilizowekwa kikatiba (eg High Court/Court of Appeal) za hapa kwetu kwa mfano?
5. Kutokana na hilo si kweli kukataa kulipa pesa hizo kunaweza kuhamasisha wananchi kuacha kutii amri na sheria za kimataifa. Kama serikali ilishindwa kutii amri za mahakama yake yenyewe chini ya katiba yake (eg kesi ya Valambhia) tayari ilihamasisha wananchi kutotii amri na sheria zake. Hii ya kimataifa is just nonsense!
6. Kwa ujumla kwa muda mrefu nimrkuwa na wasiwasi sana na mhariri mkuu wa T. Daima linapokuja suala la Richmond/Dowans – mara nyingi anaonekana kujikita upande wa EL/RA. Makala zake kadha zimekuwa zina mwelekeo huo.

"…hukumu iliyotolewa dhidi ya TANESCO ni mwendelezo wa hujuma kubwa dhidi ya taifa kwa vile inaonekana wazi kwamba kuna kundi la watu maarufu ambalo ndilo chanzo cha suala hilo, na ambalo kwa namna moja au nyingine lilishiriki kuhujumu mwenendo wa kesi ili serikali ishindwe, wao walipwe pesa.

Waziri huyo pia aliishauri serikali isilipe fidia hiyo iliyoamuliwa katika hukumu hiyo.

Hata hivyo baadhi ya wanasheria nchini jana walielezea kushangazwa kwao na kauli hizo za Sitta kwa kile walichodai kuwa zinaweza kuwahamasisha au kuwashawishi wananchi kuacha kutii amri na maamuzi ya sheria za kimataifa.

Mmoja wa wanasheria wa sheria za biashara nchini, Henry Chaula, alisema Sitta alikosea sana kutoa kauli hizo kwani serikali ya Tanzania inaendeshwa kwa kufuata utawala wa sheria.

Alisema serikali ilikubali yenyewe Tanesco kwenda katika mahakama hiyo, hivyo maamuzi yoyote yaliyotolewa mahakamani hawana budi kuyapokea.

Aliongeza kwamba madai ya kesi hiyo kuingiliwa na mafisadi hayana ukweli wowote kwani ilihusisha pande mbili tu, Tanesco na Dowans.

"Serikali iliridhia sheria za mahakama hiyo, hivyo hukumu iliyotolewa haina shaka na serikali ilikubali," alisema mwanasheria huyo.

Mwanasheria mwingine kwa sharti la kutotajwa jina lake alisema:

"Kama n I kweli Waziri Sitta amenukuliwa na hayo magazeti, basi mimi nasema Sitta amepotoka kwani yeye ni mwanasheria hakupaswa kutoa ushauri huo………………………

………"Afadhali angesema Tanesco ikate rufaa au ikae chini na Doiwans wazungumze nao…………./

Habari zaidi katika Tanzania Daima ya leo.
My Take (angalizo nilipohighlight in red):

1. Hii sasa ni project ya RA/EL na inaonyesha how the two are in full swing kutaka walipwe pesa.
2. By the way, who is Henry Chaula. Mwenye CV zake etc atujuze.
3. Anasema suala zima hilo halikuingiliwa na mafisadi – sijui anaishi dunia gani, hii ya Tanzania kweli? Tumuulize kalipwa ngapi na RA/EL kuwapigia tarumbeta?
4. Mahakama hiyo ya kimataifa haitambuliwi kisheria za kimataifa kwani haiko chini ya chombo kama vile UN. Ni taasisi binafsi tu ya watu walioamua kufanya biashara ya kuamua kesi zitokananzo na migogoro ya kibiashara kwa kulipwa fees. Hiyo mahakama inayo uwezo kisheria ku-enforce hukumu zake? Kama vile zilivyo mahakama za nchi zilizowekwa kikatiba (eg High Court/Court of Appeal) za hapa kwetu kwa mfano?
5. Kutokana na hilo si kweli kukataa kulipa pesa hizo kunaweza kuhamasisha wananchi kuacha kutii amri na sheria za kimataifa. Kama serikali ilishindwa kutii amri za mahakama yake yenyewe chini ya katiba yake (eg kesi ya Valambhia) tayari ilihamasisha wananchi kutotii amri na sheria zake. Hii ya kimataifa is just nonsense!
6. Kwa ujumla kwa muda mrefu nimrkuwa na wasiwasi sana na mhariri mkuu wa T. Daima linapokuja suala la Richmond/Dowans – mara nyingi anaonekana kujikita upande wa EL/RA. Makala zake kadha zimekuwa zina mwelekeo huo.Asante mkuu Zak, Hii imetulia. Nadhani tulitarajia kwamba hao mafisadi wataanza kampeni zao za kushinikiza serikali kulipa pesa. Kinachoshangaza kwa nini wawatumie malawyer uchwara kuwapigia tarumbeta? Kwa nini wasiifanye hiyo kazi wao wenyewe? Kweli pesa za mafisadi zitatumaliza -- sasa zinaingilia taaluma zetu. Wanasheria wazima wanasema mambo ya kihovyo kabisa!
 
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
9,390
Likes
464
Points
180
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
9,390 464 180
On a serious note namuunga mkono Sita bse izo ela zinaenda kwa wale jamaa zet tajwa apo juu.
Kuna haja ya kukata rufaa na tuoneshwe hao akina rich monduli ndo akina nani?Ila sitashangaa JK akasema walipwe.
Hakuna haja ya kuwalipa tuone itakuwaje
 
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Messages
5,410
Likes
22
Points
0
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2008
5,410 22 0
Mimi ananilagaza huyo mwanasheria wa vichochoroni kwa kusema kuwa eti Tanzania inaendeshwa kwa kufuata utawala wa sheria! Halafu huyop mhariri, Absolmi Kibanda ni mtu wa RA na EL -- wala hakuna ubishi hapo! Ameajiriwa kuendeleza hii project ya kulipwa hela za Dowans! Watanzania ni lazima tuamke sasa.
 
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Messages
5,410
Likes
22
Points
0
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2008
5,410 22 0
Hakuna kuwalipa mafisadi na tuone watafanya nini. Ikibidi tuwaombe CDM waitishe maandamano nchi nzima kupinga kitu kama hicho. Tumechoka.
 
Hakuna kulipwa. tanesco iwaambie Dowans wakakate rufaa popote kwamba tanesco hawataki kutulipa -- kama pako mahala pa kukata rufaa ya namna hiyo. Na gazeti letu -- Tanzania Daima lililojijengea umaarufu mkubwa wakati wa kampeni za uchaguzi liache kuwapigia tarumbeta mafisadi. Liache kabisa, ama sivyo litaporomoka sasa hivi na kuwa kama Mtanzania na Jambo Leo!
 
M

mams

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2009
Messages
616
Likes
8
Points
35
M

mams

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2009
616 8 35
Wanasheria hao bado hawajatupa jibu kama huyo dowans ni nani. Tutamlipaje anonymous, utata ulianzia hapo.
 
Mwanamageuko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
4,003
Likes
1,443
Points
280
Mwanamageuko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
4,003 1,443 280
Hakuna kuwalipa mafisadi na tuone watafanya nini. Ikibidi tuwaombe CDM waitishe maandamano nchi nzima kupinga kitu kama hicho. Tumechoka.
Sina hakika kama utakuwa miongoni mwa waandamanaji!!:teeth:
 
H

Hume

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2007
Messages
338
Likes
67
Points
45
H

Hume

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2007
338 67 45
Watu wa kuaminiwa ni watu wenye CV za namna Gani? Na ukishamjua Huyo jamaa ndo utamwamini au?
Nadhani ulipaswa kuangalia mantiki ya alichosema na mjadala uwe hapo bila kujali yeye ni nani?

Kama mahakama hiyo haitambuliki, walipelekaje utetezi wao kwenye kitu kisichotambulika? Ingetokea Tanesco Ikashinda, hukumu hiyo ingetambuliwa au hapana?

Mi nadhani ushauri wa kukata rufaa ungefaa, wakaongeza mashahidi kama akina Sitta ili wasaidie Tanesco ishinde kesi.
 
M

Mp Kalix2

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
5,750
Likes
1,585
Points
280
M

Mp Kalix2

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
5,750 1,585 280
Wana Jf mwenye CV ya majaji waliosikiliza shauri la Tanesco na Dowans atuwekee hapa pamoja na wakili aliyewakilisha Tanesco.
Mtiriko wa connection ya mafisadi na list ya majaji wafaa kufanyiwa uchambuzi.
My Take
Nadhani SS yuko right kuwa vita ya Upresda 2015 ndiyo inaanza
 
Deodat

Deodat

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2008
Messages
1,279
Likes
52
Points
145
Deodat

Deodat

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2008
1,279 52 145

6. Kwa ujumla kwa muda mrefu nimrkuwa na wasiwasi sana na mhariri mkuu wa T. Daima linapokuja suala la Richmond/Dowans – mara nyingi anaonekana kujikita upande wa EL/RA. Makala zake kadha zimekuwa zina mwelekeo huo.

[/B]
Hivi hili gazeti si linamilikiwa na Mbowe, mwenyekiti wa chama kilichojipambambanua kupingana na ufisadi? (CHADEMA). Huyu mhariri mkuu anapata wapi jeuri ya kuwatetea akina EL/RA? mbona anataka tuanze kuondoa imani yetu hata kwa mmiliki wa gazeti pia?

Mbowe pls, mchunguze kijana wako asije akakuharibia jina.
 
T

Tikerra

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2008
Messages
1,704
Likes
10
Points
0
Age
65
T

Tikerra

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2008
1,704 10 0

Sitta amechemka - Wanasheria

Siku moja baada ya Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, kutoa maoni yake kuhusu hukumu ya mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa migogoro ya kibiashara (ICC), iliyopipa ushindi kampuni ya Dowans dhidi ya shirika lka ugavi wa umeme nchini Tanesco, baadhi ya wanasheria wamedai mwanasiasa huyo amechemka.

Hukumu hiyo iliyotolewa hivi karibuni iliamuru Tanesco kuilipa Dowans kiasi cha Sh bilioni 185 kama fidia kwa kuvunja mkataba kati yake na shirika hilo.

Katika sehemu ya maoni na ushauri wake kwa serikali kuhusiana na hukumu hiyo, pamoja na mambo mengine, Sitta, pamoja na mambo mengine, alinukuliwa na vyombo vya habari juzi akisema,

“…hukumu iliyotolewa dhidi ya TANESCO ni mwendelezo wa hujuma kubwa dhidi ya taifa kwa vile inaonekana wazi kwamba kuna kundi la watu maarufu ambalo ndilo chanzo cha suala hilo, na ambalo kwa namna moja au nyingine lilishiriki kuhujumu mwenendo wa kesi ili serikali ishindwe, wao walipwe pesa.

Waziri huyo pia aliishauri serikali isilipe fidia hiyo iliyoamuliwa katika hukumu hiyo.

Hata hivyo baadhi ya wanasheria nchini jana walielezea kushangazwa kwao na kauli hizo za Sitta kwa kile walichodai kuwa zinaweza kuwahamasisha au kuwashawishi wananchi kuacha kutii amri na maamuzi ya sheria za kimataifa.

Mmoja wa wanasheria wa sheria za biashara nchini, Henry Chaula, alisema Sitta alikosea sana kutoa kauli hizo kwani serikali ya Tanzania inaendeshwa kwa kufuata utawala wa sheria.

Alisema serikali ilikubali yenyewe Tanesco kwenda katika mahakama hiyo, hivyo maamuzi yoyote yaliyotolewa mahakamani hawana budi kuyapokea.

Aliongeza kwamba madai ya kesi hiyo kuingiliwa na mafisadi hayana ukweli wowote kwani ilihusisha pande mbili tu, Tanesco na Dowans.

“Serikali iliridhia sheria za mahakama hiyo, hivyo hukumu iliyotolewa haina shaka na serikali ilikubali,” alisema mwanasheria huyo.

Mwanasheria mwingine kwa sharti la kutotajwa jina lake alisema:

“Kama n I kweli Waziri Sitta amenukuliwa na hayo magazeti, basi mimi nasema Sitta amepotoka kwani yeye ni mwanasheria hakupaswa kutoa ushauri huo………………………

………”Afadhali angesema Tanesco ikate rufaa au ikae chini na Doiwans wazungumze nao…………./

Habari zaidi katika Tanzania Daima ya leo.
My Take (angalizo nilipohighlight in red):

1. Hii sasa ni project ya RA/EL na inaonyesha how the two are in full swing kutaka walipwe pesa.
2. By the way, who is Henry Chaula. Mwenye CV zake etc atujuze.
3. Anasema suala zima hilo halikuingiliwa na mafisadi – sijui anaishi dunia gani, hii ya Tanzania kweli? Tumuulize kalipwa ngapi na RA/EL kuwapigia tarumbeta?
4. Mahakama hiyo ya kimataifa haitambuliwi kisheria za kimataifa kwani haiko chini ya chombo kama vile UN. Ni taasisi binafsi tu ya watu walioamua kufanya biashara ya kuamua kesi zitokananzo na migogoro ya kibiashara kwa kulipwa fees. Hiyo mahakama inayo uwezo kisheria ku-enforce hukumu zake? Kama vile zilivyo mahakama za nchi zilizowekwa kikatiba (eg High Court/Court of Appeal) za hapa kwetu kwa mfano?
5. Kutokana na hilo si kweli kukataa kulipa pesa hizo kunaweza kuhamasisha wananchi kuacha kutii amri na sheria za kimataifa. Kama serikali ilishindwa kutii amri za mahakama yake yenyewe chini ya katiba yake (eg kesi ya Valambhia) tayari ilihamasisha wananchi kutotii amri na sheria zake. Hii ya kimataifa is just nonsense!
6. Kwa ujumla kwa muda mrefu nimrkuwa na wasiwasi sana na mhariri mkuu wa T. Daima linapokuja suala la Richmond/Dowans – mara nyingi anaonekana kujikita upande wa EL/RA. Makala zake kadha zimekuwa zina mwelekeo huo.

Mimi binafsi sina wasiwasi wowote kwamba mwenendo mzima wa kesi hii ni wa kifisadi.Iweje kampuni hewa, iliyoundwa kwa malengo ya kufisadi iwe na hukumu isiyo ya kifisadi?Serikali ni lazima iwe na msimamo,liwalo na liwe.Hatuwezi kuyumbishwa na matapeli.Kwanza ingekuwa enzi ya mchonga wangekuwa saa hizi wako Segerea.Kwani si wanafahamikaa....
 
Ngongo

Ngongo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2008
Messages
12,431
Likes
4,113
Points
280
Ngongo

Ngongo

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2008
12,431 4,113 280
Tanzania daima siku zote nimekuwa nikilitilia shaka mwelekeo wake kuhusu vita vya ufisadi.Mara nyingi limekuwa mstari wa mbele kuwapiga vita wapiganaji wa ufisadi na kuwaunga mkono mafisadi haishangazi kusoma habari za kuunga mkono ulipwaji wa mabilioni ya walipa kodi.Siku hizi sinunui Tanzania Daima,Rai na Mtanzania kwasababu ni magazeti yanayounga mkono mafisadi kwa hali na mali.Inashangaza kidogo Tanzania Daima linamilikiwa na Freeman Mbowe mwenyekiti wa CHADEMA lakini gazeti lake linashabikia mafisadi ?.
 
Quinine

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Messages
14,625
Likes
22,430
Points
280
Quinine

Quinine

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2010
14,625 22,430 280
Ni wachache sana wanaoweza kugundua lengo la TD hata MHalisi, kwa akilli zenu mlio wengi mnafikiri yanaibomoa CDM kalagabaho zenu think out of the box.
 
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Messages
21,644
Likes
2
Points
145
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2010
21,644 2 145
Sasa nani mkweli????????
 
Avocado

Avocado

Member
Joined
Aug 23, 2010
Messages
98
Likes
0
Points
0
Avocado

Avocado

Member
Joined Aug 23, 2010
98 0 0
Wizi mkubwa huu, watu wanajidai wafanya biashara wakubwa kumbe ni WEZI WAKUBWA hawa, sie tunataka tumjue owner wa DOWANS mbona hawajitokezi kwenye media kama kweli hiyo ni kamouni halali ? Hao ni majambazi tu !
 
Wun

Wun

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Messages
355
Likes
5
Points
35
Wun

Wun

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2008
355 5 35
Hakuna kuwalipa mafisadi na tuone watafanya nini. Ikibidi tuwaombe CDM waitishe maandamano nchi nzima kupinga kitu kama hicho. Tumechoka.
Mawazo finyu mkuu unasubiri hadi CDM watishe maandamano na siyo kila mtanzania halafu siyo rahisi kama wewe unavyo fikiria hapa kufanya ni kukaa na dowans kupoza majeraha waliyo yaacha au serakali ikate rufaa.
 
Deodat

Deodat

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2008
Messages
1,279
Likes
52
Points
145
Deodat

Deodat

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2008
1,279 52 145
Halafu huyop mhariri, Absolmi Kibanda ni mtu wa RA na EL -- wala hakuna ubishi hapo! Ameajiriwa kuendeleza hii project ya kulipwa hela za Dowans! Watanzania ni lazima tuamke sasa.

Kama ni mtu wa RA/EL, anawezaje kuendelea kutumikia T.Daima gazeti linalomilikiwa na Mwenyekiti wa CDM, chama kinachopambana na wezi wa mali ya uma kama RICH MONDULI na mwenzie Roast wa laaziz?

Inaamana Mbowe nae ana connections na hao jamaa, manake umesema ameajiriwa kuendeleza hii project?
 
M

Mbalinga

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2010
Messages
1,496
Likes
645
Points
280
M

Mbalinga

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2010
1,496 645 280
Nilivutiwa sana na article ya Kubenea kwenye Mwanahalisi ya jana. Kabla ya kufikiria kuwalipa hao Dowans ni lazima wamiliki wake wajitokeze hadharani. Utata mkubwa umejitokeza kuhusu nani hasa mmiliki wa Dowans, wakitaka kufikiria kulipwa basi wamiliki wajulikane.
 
M

matambo

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Messages
728
Likes
13
Points
0
M

matambo

JF-Expert Member
Joined May 14, 2009
728 13 0
Ni wachache sana wanaoweza kugundua lengo la TD hata MHalisi, kwa akilli zenu mlio wengi mnafikiri yanaibomoa CDM kalagabaho zenu think out of the box.
ha ha haaa kweli siasa si hasa, tanzania daima na mwanahalisi magazeti yaliyokuwa yakisifiwa juzijuzi tu kuwa ndio bora na kuwa yako pro-upinzani? kweli ninyi migando iliyoko kwenye akili zenu inawapofusha

sifa ya chombo cha habari cha kuaminika ni kile kinachoandika habari zisizoegemea upande wowote na kuandika habari bila woga, tanzania daima limejitahidi muda mrefu kuwa balanced, kosa la mhariri ni nini? kuquote hao wanasheria?je wanasheria wanadanganya au wamekosea? ukweli ni kuwa hukumu imetolewa ,la msingi ni kukata rufaa au kuwalipa au kukaa nao meza moja, hakuna zaidi ya hapo

mkiwa na matatizo na absalom kibanda bila shaka mna matatizo na mwajiri ndugu freeman aikael mbowe!!! maana kama anaona haya na wala hamkemei then mbowe nae a napendelea mafisadi!! haiwezekani gazeti linaloongozwa na kiongozi wa upinzani limlee mhariri anayetetea ufisadi kama yule mmiliki nae hashiriki katika mambo hayo

lakini bi lazima tutambue tanzania daima ni chombo huru cha habari, kinafuata misingi ya taaluma yao na wala hawaandiki habari kwa kuegemea upande mmoja tu wa shilingi kama nyie vipofu mtakavyo
binafsi naliamini tanzania daima kama gazeti namba moja la kweli la kitanzania, kwani gazeti la mwananchi kwangu mi si la kitanzania
 
Forum statistics

Threads 1,235,534
Members 474,641
Posts 29,225,821