Kwani TB Joshua huwa anatabiri nini?
Anyway, kwangu amtabiri wa matokeo ya mpira kuwa sehemu ya Unabii naona ni sama na kupiga ramli. Ni bora mtu mwingine kama mimi nikatabiri kwa mtizamo kwa kuangalia viwango vya timu husika. TB Joshua siyo Nabii, ni tapeli wa kivuli hicho, tena ni urgent wa shetani. Nyakati za mwisho zinakaribia. Yesu alisema Nyakati za mwisho wako watu watatoa mapepo na kuponya kwa jina langu. IMEANDIKWA, mwisho wa kunukuu. Nguvu za kufanya vioja vya kutoa mapepo na kutabiri matokeo ya Mpira vinatoka kuzimuni. Tumwombe Mungu atuepushe na hili na kujua mafundisho ya uwongo na ukweli. Wanaotoa mapepo na kuombea watu wakapona hapo hapo ukiwachunguza utaona dosari nyingi sana. Hapa Tz Askofu mmoja kwa BAHATI MBAYA alikutwa kanisani kwake UCHI Mf mmoja na Huko Nigeria wahubiri 2 waliokuwa WANALAWITIWA kama tambiko la kazi yao ya kuhubiri walitiwa mbaroni baada ya kushindwa kumnasa MWUMINI wa kweli. Fanya uchunguzi na linganisha mafundisho kwa kuangalia BIBLIA.