T.B Joshua na Askofu Gwajima!

Fahamu kwamba Yesu huponya kupitia watu wake hapa duniani, ungewahi kumfatilia Prophet TB Joshua hata kwa nusu saa tu ungejua anatumia jina la Yesu. Tatizo tunakimbilia tu kuwataja kuwa ni manabii feki bila hata utafiti mdogo
Utafiti nje ya Biblia ni kujilisha upepo
 
Sisi sote tumetumwa na Mungu kumuabudu yeye na si kumtegemea Binadamu mwenzetu ambaye hata yeye yupo chini ya uangalizi wa Mungu.
Umenena mkuu. mwenye hekima atakuelewa.
 
Nilishawauliza mna video clip ya utabiri wa Lowassa? Msitulishe maneno na propaganda zilizoganda

Khaa!! Hii ilikuwa sababu enzi zile walivyokuwa wanamkamua ng'ombe wa babu. Watu wabaya sana
 
Yesu hakumaanisha physical assets, alikuwa anamaanisha uache Yale yote matamu unayoyapenda kisha umfuate. Matamu ni Kama uzinzi, ulevi, anasa, na dhambi nyingine tuzitendazo.

Pumbav.u na lofa....na wewe ni tapeli
 
Yesu hakumaanisha physical assets, alikuwa anamaanisha uache Yale yote matamu unayoyapenda kisha umfuate. Matamu ni Kama uzinzi, ulevi, anasa, na dhambi nyingine tuzitendazo.


Nakumbuka Yesu alienda kula nyumbani kwa zakayo yule sijui (nimesahau kidogo) alafu yule zakayo alichukua sehemi ya Mali zake (pesa) pale pale akawagawia wengine
 

Hakika umenena vema ndugu.
 
Kushinda na kutangazwa mshindi kuna utofauti,ukitaka kujua ukweli waombe ccm turudie kuhesabu zile form zilizokua zinasainiwa na mawakala hapo utajua mshindi nani.
 
Hakuna mahali TB Joshua alitabiri EL kuwa rais. Zile zilikuwa propaganda za kizee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…