System ya kuhesabu mda internet cafe?

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
Wakuu za majukumu,
Nilikuwa cafe si mda nikakuta ka system knakuhesabia mda na mda ulipofika kakata mawasiliano na screen ikaingia screen saver ambayo uwezi kuitoa.
Nikaona basi sio vibaya nikipewa ujuzi wa hii kitu inakaa je?
 
Ulikuwa unawaza jinsi ya kuiba muda wa watu...

Time Watcher hiyo itakuwa imekubamba...

Hivi Internet cafe bado zipo tu
 
Ulikuwa unawaza jinsi ya kuiba muda wa watu...

Time Watcher hiyo itakuwa imekubamba...

Hivi Internet cafe bado zipo tu

sijui huyu naye katokea wapi ambaye hajui internet cafe kama bado zipo?
Why think of the negative/dark side of your friends?
Kajipange upya dogo naona umedodonka shimoni tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…