GE2025 'System upgrade' ya Benki ya CRDB haisafishi Mafisadi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
1- kwanza system upgrades zinaenda mpaka 3 years, itategemea wana upgrade infrastructure zipi na time frame

2- ukisema ni mpango maalumu? Kuna mwenye taarifa za ndani why wafanye upgrade kipindi hiki?

After upgrade kuna mabadiliko gani kihuduma kwenye platform zao zote?
 
Mtoa mada ana hoja , kwanini wetu wasihisi transaction records zinafutwa, japo huenda pia ni sahihi wanafanya upgrade lakini kwenye haya kuna mengi
 
Kila tamko la serikali kwa sasa ni kututisha wananchi! Habari gani mnataka tuposti? Kuku ametaga mayai? Au... nini cha kuhabarisha? Woga umewaingia... tarehe 29/10 ni mshikemshike!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…