ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,877
- 60,907
Seran mbamizwa kaja kivingne 😆Monetary doctor ukuje hapa Kwa Uzi wa sheng. Ile kitu haifai ni kuongea kumhudu yule msee ako juu katika government ya TZ aliye, masaa 24.
Ana kipaji shemej yangu huyu SupapawaNimemuona aisee watu wana vipaji🙆🏽♀️
Fresh shemej yangu😆 Hiyo imekaa aje?
Ni ngori juu mambo hayaendi msee.Fresh shemej yangu
Ni kugumu kila mahala mseeNi ngori juu mambo hayaendi msee.
Kweli msee.Ni kugumu kila mahala msee
Aseeh ni kubaya chali wanguKweli msee.
Hamna namna tushupaze tu shingo.Aseeh ni kubaya chali wangu
Ni kweli mzee wangu....Hamna namna tushupaze tu shingo.