System (chuo) ya Sheng

Wazi jo buda(asante mkuu).Kaa umedai(kama umetaka) kung'am(kujua) sheng,jiseti kiusystem kaa stude(keti kama mwanafunzi shuleni),sidai umauru(sitaki utukutu)!Word of the day-(Sheng-Kiswa)-Kusing'aing'a,maana yake ni;ku'stagger',baada ya kunywa pombe.Kwa mfano,Morio wa mine(rafiki yangu) jana alising'aing'a mbaya na alikuwa amechapa(amebugia) konyagi jamo(moja) tu!.
Duh!iko poa jo
 
mim nimraiya wa Tz nalove sana hii but apo sija kuelewa vienye umebonga embu nifundishe mazee
Wazi mzeiya lakini unadai kufunzwa sheng saa hii?Jo ni 2AM morio!Hii gidhaa ni ya madogi,madingo na mambang'a tu tulia budaboss,masaa ya daro ni mchana bana.
 
Wazi mzeiya lakini unadai kufunzwa sheng saa hii?Jo ni 2AM morio!Hii gidhaa ni ya madogi,madingo na mambang'a tu tulia budaboss,masaa ya daro ni mchana bana.
kuna Drama moja ya kikenya imenemiwa jina Isabella kuna mzeiya na manzii ake huwa wanabonga kisheng namaindi sana vile wanabonga ila mengine si understand kama hapo mzeiya umeandika sijakusomaa mazeiya ila baadhi ya words nimekuelewa
 
Sheng word ya 2018! Kuteveva, kuwa 'under the influence of', kulewa, Yaani; Nakiche(naona) kama RAO ameteveva juu(kwasababu) ya mandogogio(pombe kali).
 
Sheng mbichi, ni ya leo. Kuthiokorwo- assaulted, kupigwa na wahuni ama wezi wenye nia za kukuibia. Nyingine pia, kiriiminoh.
 
Back
Top Bottom