Hilo tatizo linaweza kuwa dogo na linaweza kuwa kubwa pia, inahitaji kupima umeme unafika wapi unaweza ukarekebisha charge circuit umeme ukapita hapo halafu kukawa kuna shot mbele pia, sasa utampa hela aliyekurekebishia circuit ya power tu halafu ubaki na tatizo lako au utataka aendelee kutengeneza kwa gharama ileile... Ushauri tu tafuta fundi unayemwamini na anayejua haswaa kama mashine yako ni ghali,,,Ila kama ni mashine ya kawaida mwambie kabisa hapa tunajaribu kurekebisha ikizingua ninunulia motherboard muelewane kabisa,
Kama utakuwa unabahati ya kutosha unaweza shangaa ikarekebishika nusu saa tu tena kwa gharama rahisi zaidi