System aliyoitegemea Lowassa ilivurugwa na Kikwete!

Hawa lumumba bwana,mziki wa lowasa hauchezeki,hayo magari 777 mlowapa polisi walinde maslahi yenu badala ya kuwaongezea mshahara,haitawasaidia,hii ni wiki yenu ya mwisho kutamba,lowasa nguvu yake wapigakura,nyie goli la mkono
 
mleta uzi acha upuuzi na uongo usokua wa msingi..swala la linden kura si mbowe tu hata lowasa analisema sana..kauli hyo kaisema manyara na hata jana tunduma alisema!! acha kupotosha watu..half wabunge waloko hoi wa ukawa majimbon ni akina nan? sample yako umeichukua ktk majimbo mangap? mbona tuliko wengine huku ndo ccm wapumulia machine though hatuandik ujinga huo as hatujui kwa wengne?? stop that
 
Mpaka sasa Lowasa ni mshindi tayari hayo mnasema yenu zetu dua kwa Lowasa.
 

Chadema haitegemei nguvu ya system hata kwenye kauli mbiu ya Chadema ni Nguvu ya UMMA. Na kama Umma Lowassa anao. Sio maccm mnaopendelea kubebana na kulindana. Nchi Tanzania ni Yetu sote sio ya maccm na system yao.
 

Pumba uharo mashudu
 

toa ujinga kumbuka kikulacho ki nguoni mwako. Mnatembea nao mnapanga nao ila siri tunajua.

Aliyesema kula ccm kulala ukawa si mjinga kama wewe. Go back to school
 
Chadema haitegemei nguvu ya system hata kwenye kauli mbiu ya Chadema ni Nguvu ya UMMA. Na kama Umma Lowassa anao. Sio maccm mnaopendelea kubebana na kulindana. Nchi Tanzania ni Yetu sote sio ya maccm na system yao.

Amka kumekucha Kuntakint: jina hilo kubwa kwenye tamthilia za cinema akiwakilisha wamarekani weusi walipochukuliwa utumwa. Ni vizuri ukalitendea haki hilo jina!

Nguvu ya Lowasa iko kwa vijana aliohama nao CCM alipokatwa. Ni hao waliofanya fujo na vurugu Dodoma wakati NEC ya CCM ilipokutana kuteua mgombea wao kwa Urais. Ndio hao tunawaona kwenye mikutano yake ya kampeni, wamelewa na kupiga deki barabara, kama wendawazimu (angalia kwa makini aina ya watu wanaohudhuria kampeni zake na vitendo wanavyovifanya),

Nguvu ya Lowasa iko kwa wana CCM, katika ngazi za uongozi, ambao wana hofu ya ujio wa Magufuli, kwa sababu kubwa ya ufisadi na uzembe kazini.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Last edited by a moderator:



Nimeota wezi wa kura wakiuawa na mali zao kuharibiwa vibaya kwa kuchomwa moto kama vibaka wengine.

Nikaota kuwa wezi wa kura ni wezi tu na hawafai kukabidhiwa rasilimali za nchi wasimamie kwani wataiba mana mpaka madaraka wanaiba.
Mwizi wa kura hawezi kuwa mwadilifu.
 

Nimekutana na Nyumbu wengi tu tena wengine mpaka wana shahada za vyuo vikuu wamelishwa shudu eti Rais anapaswa kuvunja Baraza la Mawaziri kabla ya Uchaguzi Mkuu.Lowassa alishawajua kuwa wafuasi wake ni majuha sana ndo maana akasema kipaumbele cha kwanza moaka cha tatu ni Elimu. Jiulizeni 2010 wengi wenu mliaanza kuwa na akili je jk alivunja Cabinet kabla ya Voting? Je Mkapa alifanya hivyo? Wekeni hicho kipengele kinachosema Rais anapaswa kuvunja Cabinet kabla ya Voting Process? Muwe mnajiongeza kila Nyumbu unaekutana nae anajifanya eti kuhoji ukimuuliza nipe sheria au uzoefu wa uchaguz gan Rais alivunja Cabinet anaanza kuuma midomo acheni kukaririshana kama kasuku mnajifedhehesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…