system administrator interview....ilikuwa leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

system administrator interview....ilikuwa leo

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ropam, Sep 20, 2012.

 1. ropam

  ropam Senior Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  1. outline at least 5 reason for the password to be strong 2. list steps of securing a new web server 3. Why linux server OS is preffered over windows naomba tusaidiane kuyajibu hayo maswali wanatehama!
   
 2. N

  Nyasiro Verified User

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kwa nini usingenishirikisha na na mimi kwenye hiyo interview.... ropam unataka kula mwenyewe au hiyo interview imevuja unataka majibu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Interview ya wapi hiyo mzee, mbona maswali ya kizushi?

  Password iwe strong kuongeza security sababu 5 ni uzushi, Kusecure server inategemea na server ipi unataka kuisecure, au wanaongelea generaly? Kama kuifungia, kuweka password, kuweka firewall, kuzima services zisizohitajika etc? Linux preferred to Windows by who? Sababu kubwa ni low upfront cost, Linux ni bure wakati MS lazima ulipe license fees, kuna watu watadai Linux ni more secure huu ni uzushi kwa upande wa server.
   
 4. leh

  leh JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  heh, nimependa majibu yako. ingekuwa mie hapo naona nigekosana na interviewer coz ningempa live kuwa haya ni maswali ya kipumbavu, *am sorry sir, did you take your time to plan out your interview? i dont mean to be rude but your questions sound like a rushed up half-baked job. and to think you are doing this in order to find a suitable person for this job while it clearly shows that you aren't suited to be the one asking these questions. are you sure you even understand IT or did you pull these questions off Google this morning?* haha :biggrin:


  mi ningejibu as follows
  1. password strong ni for security purposes only, anything else is BS. kufuli, unalinda mlango, nini tena?
  2. secure what? the server computer or the website coz ukisema web server ninajua maana nyingi tofauti
  3. in what universe is Linux preferable to windows? linux=geeks, windows=everybody else
   
 5. ropam

  ropam Senior Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ilikuwa jana pale national institute of tourism mkuu....walitakiwa wapige simu jana jion, nahisi nilifeli kwa kishindo! ilikuwa ni aptitude test...ya kuandika!
   
 6. ropam

  ropam Senior Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni pale national institue of tourism mkuu...actually, ilikuwa ni aptitude test!
   
 7. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Naona watu wanasema maswali ya kizushi, maswali huwa ni ya design hiyohiyo kwa wote. very simple professional qns. kila lakheri
   
 8. leh

  leh JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  the simplicity of the questions is not at debate here :A S tongue:, ila mkuu ulivyosema kuwa haya maswali ya design hii yanaulizwa kila siku, umefanya niogope sana interview za hapa bongo. kusema kweli sijawai pigwa interview, nikichomoa vyeti vyangu, huwa napewa job on merits alone :biggrin:, ila ningependa kujua kama haya ni professional questions, wapi uliskia kuna sababu ya pili (leave alone five) reasons za kuweka a strong password. wewe ungejibu je haya maswali? mmhm?
   
 9. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kwenye interview hakuna swali la kuita la kipuuzi au ajabu sababu sio kila mtu atajua majibu ya maswali. kama mtu anajua fine as wengine pia wanajua na kushindwa kujieeza vizuri na hivyo kubolonga.

  je utashangaa mtu akikujibu kuwa password ni kuweza kulog in mahala? na hiyo kwake ni kwishnei?

  wengine kama mimi hata vi %^&*(), 1234567890, abcdefg...

  vyote nachanganya ila najua wengine wengi sana bado hata wanatumia majina ya pili, ya wanapoishi etc

  huyu kasema ni aptitude test humu kati, aptitude tests ni akili kichwani uwa rahisi kwa wengine na ngumu pia. cha muhimu sio kumaliza maswali bali ni kujibu sahihi.
   
 10. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Mimi sina professional ya IT/Computer science ila nimejifunza zile basic IT knowledge required to perfom better in my professional. Sasa kama unawasiwasi kuwa swali hilo si la professional ya IT/Computer science, napata wasiwasi na professional yako. Hilo swali ni la professional hiyo ila kusomea professional haimaanishi utajua kila kitu. Umefanya vema kuuliza ili usaidiwe.
   
 11. L

  Loloo JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mara nyingi simple question watu ndo wanafeli huoni umejua reasons 2 tu?i wish i could have this kind of interview.
   
 12. Aqua

  Aqua JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 1,299
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Jameni kwenye interview unaweza ulizwa swali lolote,nia ya maswali situ kujua kama unajua majibu.Sometimes unaweza pimwa ka you are who you say you are.Kwa mfano umeulizwa swali ambalo unajijua hulijui kabisa,na CV yako inasema "I am a honesty person".Wewe badala ya kusema hulijui jibu,unalazimisha na kuanza kutema matango pori.

  Sometimes unaulizwa wakuone uwezo wako wa kujieleza na je kama swali hujalielewa(au instruction za kazi hujazielewa) utaomba clarification au utajibu tu swali wakati halijakamilika.so maswali sione kama yanatatizo ,kumbuka si kila swali ambalo wewe hulijui basi na wengine hawalijui ingawa si lazima walijuavyo wakawa sahihi.
  Wkati nasoma kuna principle nilijiwekea nikaiita 'by kuzidiwaling principle" ingawa si nzuri na siwezi kukushauri kujibu swali ambalo huna uhakika the way you think.Watanzania wengi hatupendi kukubali kama hatujui,ukikutana na wanaojua kuinterview .The more you go chaka,the more they listen to you ,mwishoni utasikia that was great.Wewe bichwa hilo,kumbe umeenda chaka.
  eg.
  outline at least 5 reason for the password to be strong
  ukijibu to improve security,unakuwa umejilimit mwenyewe na utakuwa na wakati mgumu kufatuta hizo nne zilizobaki
  1.To make it hard/difficult to guess
  2.To make it hard for someone to remember(just in case umempa mtu mara moja)
  Server haidownload more reasons,kwa kifupi swali ni gumu ila si kila swali gumu limekosewa au halina majibu.Si vibaya ukamwuliza interviewer labda alitaka kujua ni vitu gani vinaweza vikaifanya password kuwa strong?Interview ni two way conversation but dont be the leader let them lead the interview.
   
 13. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mimi naona wamekuuliza hayo maswali waone communication skills yako iko vipi otherwise its a very shallow IT questions for the serious interview.Hata hivo kila raheli maana bwana ya Mungu mengi
   
 14. ropam

  ropam Senior Member

  #14
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kimsingi! kufikisha sababu tano za kutumia strong password ni ishu...labda you people are right, it ws not about answering a perfect as asked but the best you could.
   
Loading...