Syria: World reacts to Trump's decision to pull US troops out

Syria: World reacts to Trump's decision to pull US troops out

kumbe usa now ni kama tz ambaye yupo kongo ili kupata sifa

usa alitaka bomba la ges lipite pale that akataka kuweka kibaraka wake
..
Screenshot_20181224-090209.jpg
 
Kweli mkuu ila wa Kurdish wa Syria wakitaka wamkomoe uturuki wajisalimishe kwa ASSAD TU wakabidhi border post zao za majimbo ya kaskazini kwa Assad ili jeshi la Syria ,HEZBOLLAH and others Shia militia's wasimamie wao hapo uturuki ata fyata mkia na wa Kurdish watakua salama kabisa dhidi ya any possible Turkish incursion.
sidhan maana erdogan kapania kuwapiga

alafu now uturuki ni kama mwari kwa usa na russia that why urusi wamesema hawatowadaidia wakurd
 
Kwani mkuu unafkiri last time kitu gani kilifanya uturuki asiendelee na ile operation yake ya OLIVE BRANCH kule northern syria dhidi ya wakurd ???
 
sidhan maana erdogan kapania kuwapiga

alafu now uturuki ni kama mwari kwa usa na russia that why urusi wamesema hawatowadaidia wakurd
Wakurd wanna njia nyingi sana za kumkwepa uturuki na kumbuka kuwa wakijisalimisha kwa Assad uturuki kamwe hawezi kushambulia jeshi la Syria sababu atakua ameanzisha vita kali sana kati yake na IRAN axis(HEZBOLLAH,syria, SDF ,YPG ,PYD and other shia militias)
hivyo uturuki hatoweza kupambana na group hili pia Russia atakua upande was akina IRAN huku hawezi akamuacha uturuki amshambulie Assad wakat yeye yupo pale kuhakikisha Assad ana baki pale madarakani.
 
wakurd hawawezi kujisalimisha kwa assad

alafu assad mwenyewe yupo hoi kwa sasa

iran hawez kuingia vitan na taifalolote njee ya us,usrael na saudia kwa sasa
 
wakurd hawawezi kujisalimisha kwa assad

alafu assad mwenyewe yupo hoi kwa sasa

iran hawez kuingia vitan na taifalolote njee ya us,usrael na saudia kwa sasa
Iran anaweza kuingia vitani hapo Syria through proxies si unajua anaweza kuwachukua hundreds of shia militias from Afghanistan to Lebanon and all across middle East kuwatumia vitani
 
Wakurd (SDF,PYD, PKK,YPG) hawana uwezo wa kupambana na uturuki the only choice they have is either to join with Assad or face consequences from Turkish attack..
Nahisi kama watajisalimisha kwa Assad coz juzi walimuambia Assad kuwa Turkey ikishambulia sisi basi anaishambulia Syria, yaani walimuomba Assad aingilie kati but sijui kama Assad atawaunga mkono coz aliahidi kuwa Syria yote itarudi mikononi mwake, yaani hataki kuiweka Syria mapandemapande kwa sasa
 
Ngoja tusubirie nini kitajir mkuu.
Ila pale Syria kwa sasa naweza sema kuwa Yajayo hayatabiriki hata kidogo
 
uzuri wa iran na magroup yake hawanaga utani huwa wanazichapa kwelikweli na israel
Hahaha huwa hawazichapi huwa wana donoa na kukimbia. Vita nzuri ni nchi na nchi sio hizi zakutumia makundi ya kigaidi. Tunataka one to one, mwanzo mwisho. Ukishinda tunakupa heshima yako, na aliyeshindwa akubali yaishe. Lakini hii ya kutumia Hisbulla, mara hamas hata hainogi.
 
iran tayari yupo ulingoni anapanga vikosi vyake vzr syria

usa tayari kala ndefu uwanja wa mtanange hapa anaesubiriwa ni israel aanze kumshambulia iran

alafu S-300 zimeturahishia hili game coz ni lzm israel atumie jeshi la miguu (sidhan kama anaweza kutumia jeshi la miguu)
 
Back
Top Bottom